Mkasi na Mrembo Kidoti

Mkasi na Mrembo Kidoti

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Jana nilikuwa nawatch kipindi cha Salama Mkasi..Huyu Mrembo Joketi alivyokuwa anabehave mbona sikuamini nilichokuwa nakiona?I thought ni Star anayejielewa,ana exposure but naishia kumuona Anacheka cheka tena ile ya kujikekesha unnecessary,mara anapayuka payuka yaani kujicompose as a lady ni 0 kabisa..hawa wanaojiita mastar kwa nini wasiwe wanapigwa msasa kabla hawajapaa nje kutuwakilisha kama Tanzania
 
Dah... niliamua nikalale kuliko kuangalia mtu anajichekesha tu... upuuzi mtupu!
 
Ndio kioo cha jamii hicho...jana ckufurahia mkasi wa salama..ki-bint kiliishia kuchekacheka tuuu na hakuna ishu ya msingi au hata kujenga taifa kilichoulizwa.
Pia nilikuwa na imani kuwa kidot kidooogo kapita darasani basi upeo nao utakuwa mkubwa lakini bado kabisaaaaaa.
 
Anatuambia na yeye anakuja na kitabu chake!!! Kazi kweli kweli

ANAKUJA NA KITABU CHAKE JUST BCOZ KAKA YAKE ALIKSHAANDIKA VIWILI NA PIA YEYE ANAPENDA KUFANYA VITU VINGI KWA WAKATI MMOJA...THE QUESTION IS...HOW EFFICIENT ARE YOU IN DOING THOSE MULTIPLE ASSIGNMENTS???
1- MSANII WA KUIMBA
2- MSANII WA FILAMU
3- MJASIRIAMALI/MFANYA BIASHARA YA NYWELE ZA KINA MAMA
4- MSOMI NA MWANDISHI WA VITABU
5- MODEL WA MAVAZI
6- MBUNIFU WA MAVAZI..KIDOT LOVING
7- ANAMILIKI CHARITABLE ORGANISATION INAYOTOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WA SONG-AIR
8- PUBLIC FIGURE AND CELEBRITY

JE...KWA UFANISI UPI???

HATA BILL GATES ANGEWEZA KUIMBA, KUANDIKA VITABU ETC ILA HAWAFANYI HAYO WANAONA HAYANA TIJA NA WANA-NARROW DOWN to one business seriously done to impact the world.
 
Mi nilijikaza hadi mwisho but nilikuwa nasikia aibu kama mimi Patna wake vile

kwa hiyo wewe ndio HASHIM THABEET AU DAIDOMO?..ngoja na mie nijichekeshechekeshe kama yeye jana..qiiiqiqiqiqi ahahahaha higihihihihihih....akchuali
 
Ndio kioo cha jamii hicho...jana ckufurahia mkasi wa salama..ki-bint kiliishia kuchekacheka tuuu na hakuna ishu ya msingi au hata kujenga taifa kilichoulizwa.
Pia nilikuwa na imani kuwa kidot kidooogo kapita darasani basi upeo nao utakuwa mkubwa lakini bado kabisaaaaaa.
Me too i can announce The Worst mahojiano of the Year
 
ANAKUJA NA KITABU CHAKE JUST BCOZ KAKA YAKE ALIKSHAANDIKA VIWILI NA PIA YEYE ANAPENDA KUFANYA VITU VINGI KWA WAKATI MMOJA...THE QUESTION IS...HOW EFFICIENT ARE YOU IN DOING THOSE MULTIPLE ASSIGNMENTS???
1- MSANII WA KUIMBA
2- MSANII WA FILAMU
3- MJASIRIAMALI/MFANYA BIASHARA YA NYWELE ZA KINA MAMA
4- MSOMI NA MWANDISHI WA VITABU
5- MODEL WA MAVAZI
6- MBUNIFU WA MAVAZI..KIDOT LOVING
7- ANAMILIKI CHARITABLE ORGANISATION INAYOTOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WA SONG-AIR
8- PUBLIC FIGURE AND CELEBRITY

JE...KWA UFANISI UPI???

HATA BILL GATES ANGEWEZA KUIMBA, KUANDIKA VITABU ETC ILA HAWAFANYI HAYO WANAONA HAYANA TIJA NA WANA-NARROW DOWN to one business seriously done to impact the world.

Hapo ndo ninaposhangaaga......

kuimba yeye,kuigiza yeye,modeling yeye,author yeye
designer yeye LOL
 
Me too i can announce The Worst mahojiano of the Year

naamini sasa kuwa "HAKUNA KILEVI CHENYE KULEVYA NA MADHARA MAKUBWA KWA BINADAMU KAMA ULEVI WA SIFA NA HASA ZA KIJINGA"....haka katakuwa kamelewa sifa za kijinga coz kalijipatia sifa pale "mwenzake" wema sepetu alivyoboronga na kuonekana mara mia ya haka katoto but nadhani nako kamelewa sifa kiasi hakawezi kujuwa kajibu nini na kanaongea kama kioo cha jamii na hasa ya waliopita darasani.
 
kwa hiyo wewe ndio HASHIM THABEET AU DAIDOMO?..ngoja na mie nijichekeshechekeshe kama yeye jana..qiiiqiqiqiqi ahahahaha higihihihihihih....akchuali

The word Kama maana yake Mithili ya au kwa kiingereza as au like yaani ni kiunganishi cha kuonyesha ufananishi wa kitu so hapo nimeimagn mimi ndo ningekuwa mmoja wa hao ningesikia aibuuuu
 
Umaarufu mnawapa nyie wenyewe kisha mnawashangaa!...sina wivu nao kabisa lakini hawa jamaa bado wana njia ndefu ya kwenda

Mkuu umetoboa mpaka nimefurahi.... Kumbuka ilishasemwa ... ''A nation reveals itself not only by the men it produces but by the men it honors, the men it remembers" – President John F. Kennedy
 
Hapo ndo ninaposhangaaga......

kuimba yeye,kuigiza yeye,modeling yeye,author yeye
designer yeye LOL
....And you can't imagine eti ana mashabiki!Aesthetic level ya watanzania wengi ipo chini sana....bado hatuwezi ku-appreciate a good work of art na ku-disaprove a bad one....in fact ndo maana watu kama hawa wapo na wanapata a lot air of time na kuuza kazi zao kama kawa.Eti Dudu Baya ,Jokate nao ni wanamuziki!..Lol!
 
Unaua sana kaka
 
Back
Top Bottom