LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,700
Mama yangu Salama hanipendiiiiiiiiiiiiii hhahhahaa, a few yrs ago niliachiaga A FEW comments about her, ndo beef hadi leo. Huwa ananidiss balaaa kuna mtu alimuuliza siku moja mbona hujamwalika Mange kipindini kwako akasema, Huyo Mange kafanya nini cha maana kwenye jamiii? hahahahahhaahhahaha..... Yani ukitaka kumuuzi mtajie Mange....
Not that ningeenda kwenye kipindi hata kama angenialika, I did one tv interview na Joyce Kiria its enough......
JAMANI NIMECHEKAAAAAAAAA.....
Not that ningeenda kwenye kipindi hata kama angenialika, I did one tv interview na Joyce Kiria its enough......
JAMANI NIMECHEKAAAAAAAAA.....