Ebss mwaka huu kichefuchefu

Ebss mwaka huu kichefuchefu

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,834
Duuuh, jana nikasema ngoja niangalie BSS maana tangu ianze sijaangalia, nilichokutana nacho niliona aibu mwenyewe maana mtu unashangaa hawa washiriki wametolewa wapi,ni aibu tena kwa television inayoonekana duniani kote kuwa na washirki kama wale,ni bora wangesema mwaka huu hawajaona vipaji wakapotezea..washiriki wote ni kama wanalazimisha na hakuna hata anayeonekana anakipaji (maana kipaji huwa kinaonekana hata kama mtu hajapewa training ya kufukia makosa bado). Ushauri wangu kwa waandaaji wajaribu kwenda kutafuta vipaji sehemu ambazohawajawahi kufika kabisa kama bado washiriki hawaonekani kukidhi viwango,maana hii ya mwaka huu ni aibu tupu hata kwa majaji.
 
Jamani kwa kweli ni aibu...jana nilitamani kuzima TV kwa aibu niliyokuwa naisikia..

Yaani Madam Rita una kazi ya ziada..
 
Yaani mi siamini kama bongo vipaji vimeisha kiasi hiki wakati ndio tunasumbua East africa kwa kuwa na utitiri wa wasanii tena wanaotoa single za hatari. Sasa mtu akiona hii BSS na akicompare na bongo inavyovuma atashangaa sana. Hawa waandaaji wa mwaka huu naamini hawajazunguka enough kupata real vipaji,na huu ushaanza kuwa ubabaishaji sasa...hata kama ni budget finyu sio kiivi wadau :embarrassed:
 
Watu Wapo kimaslahi zaidi na kumbuka mgema akisifiwa...!!!?
 
Mie BSS huwa nachukulia kama komedi fulani...! Kwani wewe unategemea kuna mtu anakipaji pale
 
Kwa kweli EBSS ya mwaka huu yaani watu wake hamna kitu,sijui ilikuaje hadi kuleta watu ambao hawana hata chembe ya music talent
 
laana hiyo, ebss z going down trust me....kwanza vijana wengi hawaangalii tbc, soon itatoka kwenye national licenced tv na kwenda kwenye regional tv. Mtaniambia
 
laana hiyo, ebss z going down trust me....kwanza vijana wengi hawaangalii tbc, soon itatoka kwenye national licenced tv na kwenda kwenye regional tv. Mtaniambia

Mi mwenyewe nilishaacha kuona TBC long sana sema nikadhani BSS ndo pekee itanifanya angalau nirudi kundini...kumbe full majanga...kweli wamebugi na TBC yao....sirudi teeeee...teeee
 
We Tanzanians likes copy and paste tho we don't have that ability to reach that level.We have now reached to a point of embarrassing ourselves since we barely don't know what to expect from these individuals i.e BSS management or these young crop.BSS management is not there to help but only to fulfill there end overs.Look at what X-Factor or Pop Idols does to those top celebrities?
 
Hata usifike ulaya...angalia hapo india tu watoto wadoogo wanavyoimba ukirud BSS utatapika!!...kwan lazim kushiriki?
 
Sure!there must be a purpose in doing this by also improving contesters lives.The mentality of "Business as Usual" should stop.
 
IPP hataki sub-standards ndio maana BSS wamekimbilia TBC
 
Back
Top Bottom