Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

mi napenda sana hizi movies, kama nawe unapenda basi tushee pamoja zile kalikali. nianze tu kidogokidogo 1. conan the barbarian. ni movie ya 2011. inamapigano ya ukweli, full maadventure na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati huo tulipokuwa tunasoma msingi miaka ile ya 80 kulikuw na michezo maarufu sana mashuleni na nje ya shule, nakumbuka kila shule ilikuwa na kikundi cha sarakasi ambacho kingeweza kwenda hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna nyimbo mwenzenu nashindwa kuzisahau. Ni zile nyimbo tulivu zile enzi kabla ya vita ya Kagera na soda za Potelo? Em tukumbushane jamani...vijana wenzangu wa zile enzi za Simba Grill. Mimi...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
MSANII WA HIPHOP AMEZINGIRWA NA ROHO YA UMAUTI. Mimi Vimvitae Lignumvitae, kutoka Taasisi ya Ungo Afrika, nikiwa katika maono yangu ya kiroho, nimeiona aura ya msanii Curtis...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiachana na Olympus has fallen, whitehouse down natafuta movie za kijasusi mpya kwa yeyote anayezifaham naomba afunguke
0 Reactions
1 Replies
3K Views
BONGO MOVIE BADO SAAAAANA! * Kuvaa uhusika sifuri. * Kuvaa uhalisia sifuri kabisa. Nimetoka kutazama movie ya kibongo, kwenye hiyo movie kuna scene jamaa anaenda kumuona...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiulizwa sababu ya kuamua kusambaza filamu zangu mwenyewe badala ya kuzipeleka kwa wasambazaji ambao nilikuwa nikifanya nao kazi kwa muda mrefu, yaani kampuni ya Steps...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Naskia kuna msanii wa mziki huko ugaibuni alipigwa risasi na baba yake baada kumgundua kuwa shoga sijamfaham ni nani hebu anayemfaham anijuze
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kuwaambia watu wa Clouds #Ruge #Mpoto #Maganga #Fiestateam sisi watu wa Kusini Mtwara vs Lindi tunazijua Fursa na ndomana hatutaki Gesi itoke ili wawekezaji waifuate Mtwara kuja...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Huyu jamaa anajua kazi yake sio kidogo Me and You - Ommy Dimpoz Ft. Vanessa Mdee - YouTube Hili jina tu fungua uone wala sio Ommy mwanamuziki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa yoyote aliyewahi kuiangaliaa hii tamthlia ya kikorea naomba unijulishe ntaipata vp? Coz nimehangaika kuisaka ili nii download nakutana na link ambazo zipo complicate sana .....hii tamthlia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kutokana na the komedy kupoteza mvuto ni bora kuangalia epiq bongo star search angalau unaweza angalia na watoto na ukacheka sababu ya waimbaj comedy. .masanja n ua team JIPANGE,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
American movie - Romeo and Juliet Nigerian movie - Johnbull and Rosekate Tanzanian movie..........?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wasiomjua sir norman wisdom..huyu ni comedian wa enzi zile za miaka ya 1945 ni mcheshi zaidi ya charley chaplin ( mtazamo wangu)..ana movie kama UP IN THE WORLD, A STICH IN TIME na nyingine nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu,hii tamthilia naifuatilia kwa karibu japo imeanza kuniboa kias flan,inaonyeshwa na star tv,kama kuna mtu anaweza nsaidia pakuipata full yote kwa sasa,au anieleze tu mwisho wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Iiyonibamba ni beautiful imperfection by Asa distant relatives by damian marley & nass. tiririka zako mwanakwetu
1 Reactions
24 Replies
5K Views
MSANII aliyewahi kutamba kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa wizi wa simu aina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hellow wana JF... Denzel Washington ni moja wa Holly Wood Acters napenda saana. Do your share my Like/Love of him?? If YES Picha zake zipi kwako wazipenda? Scene gani? Quote gani...
12 Reactions
149 Replies
12K Views
Somewhere In Africa is a powerful film that resonates with Africans as it captures the heinous stories of how some African regimes have maltreated their citizens. It is a total deviation from the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…