Dogo Beka: Narudi kazini....!!!!

Dogo Beka: Narudi kazini....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,132
Huyu dogo namkubali kwa kweli, licha ya udogo wa umri ila kimziki yuko vizuri sana na style ya uimbaji wake wa mahadhi ya zouk imetulia sana. Sijui ni kukosa promo, management au nini kinachomfanya dogo asivume kiivyo kwenye anga za mziki
 
Attachments

Ndo wa natumaini??? Ukishatoka tiptop ku shine inakua ngumu sana
 
Kwani huyu dogo yupo tiptop au THT? Me navojua ni dogo wa Ruge huyu na sijui kwann anawekwa nyuma nyuma

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwani huyu dogo yupo tiptop au THT? Me navojua ni dogo wa Ruge huyu na sijui kwann anawekwa nyuma nyuma

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Mi mwenyewe nilikua najua ni wa tht!
 
Ndo wa natumaini??? Ukishatoka tiptop ku shine inakua ngumu sana

Hajawahi kuwa tip top ni product ya THT na sasa ni mwanamuziki wa band ya wazee wa fursa Sky light band
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom