Authorship of Malaika song is disputed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Authorship of Malaika song is disputed

Discussion in 'Entertainment' started by LazyDog, Jul 11, 2008.

 1. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nasikia hii patashika ilishawahi kwenda hadi Bungeni hapa Bongo.

  Malaika, Nakupenda Malaika... Ningekuoa Malaika...
  Here's the whole song "Malaika" with translation

  Source nyingine (ugandaforum.com) inakaribia kutoweka. Inaonekana hii forum haipo online tena, ila cheki copy ya source ya hiyo article kwenye google CACHE hapa. Content nitaiweka hapa chini kwa kumbukumbu.

  Mwenye muda akiweza kuiweka hii kwenye WIKIPEDIA itakuwa bomba sana.  .
   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  SOURCE: CONFERENCE ON CULTURAL DIVERSITY  .
   
 3. Tonga

  Tonga Senior Member

  #3
  Jul 11, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wow, it is such a great history and dillema, am curious to know the answer.
   
  Last edited: Jul 11, 2008
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  .... huu wimbo kuipata source yake itakuwa patashika kubwa. Kuna kesi kama hii ilitokea South Africa kuhusiana na ule themed song kwenye Lion King, movie and musical.
  .... kesi ilienda miaka mingi, mpaka kama sikosei mwaka jana ndiyo wakamjua ni nani haswa mwanzilishi/mtunzi wa huo wimbo. Warner Bros,(if not mistaken) kwa hiyo wanamlipa yeye (familia yake) loyalty hivi sasa.
   
 5. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Btw, this story is not of recent date. Just thought it would be nice to share.  .
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...it is an ongoing thing, so fits our interests. worry not.
   
 7. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huu wimbo mtunzi ni Mtanzania alitunga wimbo huu akimsifia mpenzi wake ambaye alifariki miaka ya 90 akiwa mzee sana. Aliitwa Malaika ni wa huko mkoa wa Kilimanjaro, aliimba kusifu kwa uzuri wake. Lakini kama unavyojua uzembe wa sisi Watanzania wakauteka wimbo wetu na leo tunatafuta nani alianza kuuimba oh!! ni mali ya nani. Ni hivi sasa Serikali yetu inashupalia kuhusu mlima Kilimanjaro lakini kwa miaka mingi sana Wakenya wamekuwa wakitangaza kwamba Mlima Kilimanjaro ni wa Kenya na sisi tukakaa kimya bila kukemea hali hiyo. Wanzania tu wavivu sana wa kuyachukulia mambo kwa makini. Wakati umefika tuamke.
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Msemaovyo, sina uhakika na vile unaposema miaka ya 90.. isije ikawa unamaanisha 1890s... :confused:,

  Anyway, kama umemaanisha miaka ya 1990s, then sidhani kama ni sahihi, maana wimbo huo miye nimeusikia toka early 1980s.. miaka ya 1983 niliusikia wimbo huo ukipigwa kwenye santuri.

  I thought i should just point out about this. Thanx.

  SteveD.
   
 9. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Miaka ya 90 niliyotaja siyo ya kutungwa wimbo ni kipindi ambacho niliwahi kusikia kuwa aliyeimbwa alifariki miaka hiyo ni fununu nilizopata uhakika kamili nitafuatilia mpaka kieleweke-Wimbo wetu huu.
   
 10. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sina la kusema kuhusu huu wimbo ila I know kwamba nina upenda mno hasa Miriam Makeba alivyouimba.Its good kama wakijua mtunzi wa nyimbo hii ili familia yake ipate haki zao maana kuna wakati nilishasikia mke wa Mbaraka Mwinshehe analalamika watu wanaotumia nyimbo za mumewe kinyume na haki.
   
 11. S

  Swat JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 4,182
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu kafungua thread kuulizia mtunzi wa wimbo wa malaika. Mods ingekua vizuri kama mngeunga thread yake na hii ili apate other stories too.
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2013
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Boney m waliuimba pia, ndiko nilipoufahamu
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ule ulitungwa na msauzi mmoja mwaka 1926 ukienda kwa jina la "imbube"
   
Loading...