Nyimbo za asili za Naijeria

Nyimbo za asili za Naijeria

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,348
Aje wadau wa jukwaa.
Kuna nyimbo fulani zina mahadhi ya Kiafrika nilikuwa nazisikia kwenye filamu za zamani za Naijeria (Aki na Ukwa, Hour of Grace n.k.). Kwa anayefahamu zile nyimbo (tanzu) zinaitwaje na zinapatikanaje anifahamishe.
 
Back
Top Bottom