Extra Musica: Ouragan Album

Extra Musica: Ouragan Album

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,797
Reaction score
9,159
Habarini Wadau! Natafuta sana ngoma za hao jamaa za hiyo album. Msaada jamani! sehemu nyingi hii album hawana sijui kwa nini!
 
Taja miziki gani bana, watu tuna miziki yo lakini hatujui album zao.
 
Nimekusoma mkuu! hiyo album ina ngoma zifuatazo: 1. Losambo, 2. Generation Mechante, 3. Lolango, 4. Hommage, 5. Mere S, 6. Melange, 7. Panique Totale.
Natumaini nimesomeka!
 
Nimekusoma mkuu! hiyo album ina ngoma zifuatazo: 1. Losambo, 2. Generation Mechante, 3. Lolango, 4. Hommage, 5. Mere S, 6. Melange, 7. Panique Totale.
Natumaini nimesomeka!

Ninazo zoote hizo...ni PM sheikh
Hiyo Lolango Logaloga kautendea haki mpini balaa...
 
Samahani ni Logaloga au Roga Roga ( Ibambi Ikombi La Liberateur ) ? Ukizitaka Album Zote za Hao Jamaa Nenda Pale Afrika Sana ambapo Baadhi Ya Dada Zetu Wavivu na Wasiotaka Kujituma Wanauza PAPUCHA Zao Utaliona Duka Kubwa La Muziki na Utawakuta Mule Vijana Wawili na Binti Mmoja hivi na Utapata Ukitakacho. Ni Wastaarabu na Wakarimu Mno!
 
daa! mkuu umenichekesha sana. vp wanauza kanda za aina zote za muziki? me natafuta album ya reggae "remember bob marley proverbial reggae" pia album ya soukouss vibration yenye picha hii soukous.jpeg

Samahani ni Logaloga au Roga Roga ( Ibambi Ikombi La Liberateur ) ? Ukizitaka Album Zote za Hao Jamaa Nenda Pale Afrika Sana ambapo Baadhi Ya Dada Zetu Wavivu na Wasiotaka Kujituma Wanauza PAPUCHA Zao Utaliona Duka Kubwa La Muziki na Utawakuta Mule Vijana Wawili na Binti Mmoja hivi na Utapata Ukitakacho. Ni Wastaarabu na Wakarimu Mno!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom