donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Salaam wakuu,
nafungua thread hii ni maalum kwaajili ya kupromote wasanii wachanga wanaochipukia katika mziki wetu wa kizazi kipya. Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kwa wasanii wadogo ambao ndio wanachipukia kupenya mianya na kuweza kusikika katika medias kubwa mbali mbali. Hii inatokana na wegni kukatishwa tamaa na baadhi ya ma Dj's na watangazaji wa radio wenye tamaa ya fedha na waliowekamaslahi yao binafsi mbele bila kkua na lengo la kumsaidia msanii kumove kutoka point moja kwenda nyingine. Hivyo basi, sisi wenyewe tufanye movement ya kupush hapa kazi za ma undergrounds ambapo kwanza itakua ni manufaa pia kwa memba mbali mbali ambao pia ni wasanii wanaochipukia kuweza kuleta kazi zao hapa zikasikilizwa, kitu ambacho pia kitamsaidia pia msanii binafsi kupata ushauri mbali mbali wa jinsi ya kuboresha kazi yake na kufanikiwa zaidi.
Vile vile pia itasaidia kufanya networking na wimbo ku reach watu wengi zaidi kwani kama wimbo ni mkali watu watafanya downloads na kuweza kuwarushia wenzao through Whatsapp, BBM, emails na njia nyinginezo na kama wimbo ni mkali na unastahili basi hata hao watu wa media watajikuta wanautafuta kutokana na requests kutoka kwa raia ambao wameusikia na wakauelewa.
Mwisho, nazindua rasmi zone hii kwa wimbo ambao ni mtindo huru (freestyle) kutokana kwa kijana mmoja wa sala sala anaitwa Don.C ambaye ananichukulia kama Mentor wake donlucchese) na ndicho kilichomfanya afupishe jina langu na kujiita Don.C, na hii ni homemade freestyle yake anakwambia Genocide. criticisms, maoni na ushauri vinaruhusiwa ili nia yetu tuliyokusudia ya kuhakikisha mziki mzuri kutoka kwa wasanii wachanga unapush forward iweze kutimizwa, Asanteni sana .
With Regards, donlucchese

Attachments
Last edited by a moderator: