Rapper mkali kuwahi tokea

Rapper mkali kuwahi tokea

Hawa ndio marapa wa ukweli na wanaokubalika hapa Tanzania: Muumin Mwinjuma, Saulo Ferguson, Romario wa Msondo, sauti Ya radi, Msafiri Diouf, Kitokololo, Kalala Jnr., Khalid Chokoraa. Kama kuna wengine zaidi ya hawa jazia.
 
Nilidhani Unaulizia Marepa Kutoka DRC Kumbe ni Hawa Marepa wa Kichovu wa Kibongo? Muumin Mwinjuma Anamuiga Repa wa Bozi Boziana aitwae THEO MBALA, Saulo Ferguson Anamuiga Repa wa Werrason aitwae Rwinga Keps Brigade Sabatier, Romario wa Msondo Ngoma Siamini kama ni Repa Kwani Huwa Ananong'ona tu na Kuonyesha Mzuzu Wake, Sauti Ya Radi Anamuiga Aliyekuwa Repa Maarufu wa Werrason Aitwae Bill Clinton Kalondji ambao Kwa Msiojua Hawa Wote Famillia Yao ni Ya Marepa Watupu Kwani Bill Clinton Kalondji ndiyo Kaka Mkubwa na Alikuwa ni Repa Wa Werrason ila Kwa Sasa Anajitegemea na Bendi Yake na Ametoa Album iitwao Philanthropist huku Wa Pili Kuzaliwa Kwao ni Kerozene Kalondji ambaye Alikuwa ni Repa Maarufu sana Wa Bendi Ya Koffi Olomide Ya Quarter Latin na Ukitaka Usikie Shughuli Yake Tafuta ile Album Ya Koffi Olomide iitwayo Effrakata na Wa Mwisho Kwao Kuzaliwa na Ambaye ndiyo Ana Kipaji Kikubwa cha Kurepu na Kwa Msiojua Hao Kaka Zake Wote Wanapata Mafunzo Kutoka Kwa Huyu Mdogo Wao na Anaitwa Jeune Kalondji Cellulaire ambaye Yupo Kwa Kipenzi Changu na Makao Makuu Ya Chuo cha Muziki DRC ktk Bendi Bora na Maarufu Ya Wenge Musica BCBG Chini Yake Papa Cherie au Dela Patria au Souverain Premiere au Munkulu Ya Bamukulu au Moto Pamba au Leader Charismatic Jean Bedele Tshuka Mpiana ( JB MPINA) Ambayo Kila Ikifanya Shoo Zake Huko Zenith, Bercy na Olympious Lazima Watu Wajae Kupita Kiasi na Baadhi Pia Wapoteze Maisha na Ndiyo Pekee Ambaye Anaongoza Kwa Kupiga Shoo za Gharama Kubwa na Bado Watu Wanamiminika na Kwa Faida Yenu tu DRC Nzima Anayeongoza Kwa Kupiga Live Shows ni Wenge Musica BCBG wakati Anayeongoza Kwa Kupiga Shows za Kurekodi DRC Nzima ni Koffi Olomide wa Quarter Latin huku Werrason Akiwa tu Katikati Yao. Tunaendelea Msafiri Diof Anamuiga Repa Wa Iliyokuwa Bendi Ya Quarter Latin Academia Aitwae Parabolic, Kitokololo Nae Anamuiga Repa Bora na Maarufu wa Wenge BCBG Aitwae Antibiotique Lisimo ambaye Sasa Anatamba Mno na Repa Zake za Punda, Biloko na Rota Rota, Kalala Junior Anamuiga Mboshi Bola wa Bendi Ya Sasa Ya Ferre Gola na Chokoraa Anamuiga Repa wa Wazekwa aitwae Gesac. Kila la Kheri Wana Jamii Forum Wenzangu na Weekend Njema Pia.
 
[video]youtube.com/watch?v=Mxst-MoIwcA[/video]
Hii dunia inavituko sana. Mbavu zangu zimecrack. Haka kadada si kapo kwenye kichekesho fulani hivi ambacho jamaa anakaita halafu kenyewe kanachonga mpaka jamaa anaogopa halafu kanampa na namba ya simu?
 
hii dunia inavituko sana. Mbavu zangu zimecrack. Haka kadada si kapo kwenye kichekesho fulani hivi ambacho jamaa anakaita halafu kenyewe kanachonga mpaka jamaa anaogopa halafu kanampa na namba ya simu?
haha ni noma. Full swaggz
 
Nilidhani Unaulizia Marepa Kutoka DRC Kumbe ni Hawa Marepa wa Kichovu wa Kibongo? Muumin Mwinjuma Anamuiga Repa wa Bozi Boziana aitwae THEO MBALA, Saulo Ferguson Anamuiga Repa wa Werrason aitwae Rwinga Keps Brigade Sabatier, Romario wa Msondo Ngoma Siamini kama ni Repa Kwani Huwa Ananong'ona tu na Kuonyesha Mzuzu Wake, Sauti Ya Radi Anamuiga Aliyekuwa Repa Maarufu wa Werrason Aitwae Bill Clinton Kalondji ambao Kwa Msiojua Hawa Wote Famillia Yao ni Ya Marepa Watupu Kwani Bill Clinton Kalondji ndiyo Kaka Mkubwa na Alikuwa ni Repa Wa Werrason ila Kwa Sasa Anajitegemea na Bendi Yake na Ametoa Album iitwao Philanthropist huku Wa Pili Kuzaliwa Kwao ni Kerozene Kalondji ambaye Alikuwa ni Repa Maarufu sana Wa Bendi Ya Koffi Olomide Ya Quarter Latin na Ukitaka Usikie Shughuli Yake Tafuta ile Album Ya Koffi Olomide iitwayo Effrakata na Wa Mwisho Kwao Kuzaliwa na Ambaye ndiyo Ana Kipaji Kikubwa cha Kurepu na Kwa Msiojua Hao Kaka Zake Wote Wanapata Mafunzo Kutoka Kwa Huyu Mdogo Wao na Anaitwa Jeune Kalondji Cellulaire ambaye Yupo Kwa Kipenzi Changu na Makao Makuu Ya Chuo cha Muziki DRC ktk Bendi Bora na Maarufu Ya Wenge Musica BCBG Chini Yake Papa Cherie au Dela Patria au Souverain Premiere au Munkulu Ya Bamukulu au Moto Pamba au Leader Charismatic Jean Bedele Tshuka Mpiana ( JB MPINA) Ambayo Kila Ikifanya Shoo Zake Huko Zenith, Bercy na Olympious Lazima Watu Wajae Kupita Kiasi na Baadhi Pia Wapoteze Maisha na Ndiyo Pekee Ambaye Anaongoza Kwa Kupiga Shoo za Gharama Kubwa na Bado Watu Wanamiminika na Kwa Faida Yenu tu DRC Nzima Anayeongoza Kwa Kupiga Live Shows ni Wenge Musica BCBG wakati Anayeongoza Kwa Kupiga Shows za Kurekodi DRC Nzima ni Koffi Olomide wa Quarter Latin huku Werrason Akiwa tu Katikati Yao. Tunaendelea Msafiri Diof Anamuiga Repa Wa Iliyokuwa Bendi Ya Quarter Latin Academia Aitwae Parabolic, Kitokololo Nae Anamuiga Repa Bora na Maarufu wa Wenge BCBG Aitwae Antibiotique Lisimo ambaye Sasa Anatamba Mno na Repa Zake za Punda, Biloko na Rota Rota, Kalala Junior Anamuiga Mboshi Bola wa Bendi Ya Sasa Ya Ferre Gola na Chokoraa Anamuiga Repa wa Wazekwa aitwae Gesac. Kila la Kheri Wana Jamii Forum Wenzangu na Weekend Njema Pia.
:becky: MKUU UPO DEEP SANA. UMEFUNGUKA VIZURI MNO
 
We jamaa umezama! Duh...haya bana, tisha sana mkuu na mambo ya bolingo.
 
Karibu Kaka na Ukiwa na Jambo Lolote Lile La Kuhusiana na Congolese Music Uliza na Utapewa Kila Kitu na Kwa Undani Wake!
 
Je aliepiga kinanda kwenye wimbo wa zaiko unaojulikana kama Zekila alikuwa nani?
 
Nilidhani Unaulizia Marepa Kutoka DRC Kumbe ni Hawa Marepa wa Kichovu wa Kibongo? Muumin Mwinjuma Anamuiga Repa wa Bozi Boziana aitwae THEO MBALA, Saulo Ferguson Anamuiga Repa wa Werrason aitwae Rwinga Keps Brigade Sabatier, Romario wa Msondo Ngoma Siamini kama ni Repa Kwani Huwa Ananong'ona tu na Kuonyesha Mzuzu Wake, Sauti Ya Radi Anamuiga Aliyekuwa Repa Maarufu wa Werrason Aitwae Bill Clinton Kalondji ambao Kwa Msiojua Hawa Wote Famillia Yao ni Ya Marepa Watupu Kwani Bill Clinton Kalondji ndiyo Kaka Mkubwa na Alikuwa ni Repa Wa Werrason ila Kwa Sasa Anajitegemea na Bendi Yake na Ametoa Album iitwao Philanthropist huku Wa Pili Kuzaliwa Kwao ni Kerozene Kalondji ambaye Alikuwa ni Repa Maarufu sana Wa Bendi Ya Koffi Olomide Ya Quarter Latin na Ukitaka Usikie Shughuli Yake Tafuta ile Album Ya Koffi Olomide iitwayo Effrakata na Wa Mwisho Kwao Kuzaliwa na Ambaye ndiyo Ana Kipaji Kikubwa cha Kurepu na Kwa Msiojua Hao Kaka Zake Wote Wanapata Mafunzo Kutoka Kwa Huyu Mdogo Wao na Anaitwa Jeune Kalondji Cellulaire ambaye Yupo Kwa Kipenzi Changu na Makao Makuu Ya Chuo cha Muziki DRC ktk Bendi Bora na Maarufu Ya Wenge Musica BCBG Chini Yake Papa Cherie au Dela Patria au Souverain Premiere au Munkulu Ya Bamukulu au Moto Pamba au Leader Charismatic Jean Bedele Tshuka Mpiana ( JB MPINA) Ambayo Kila Ikifanya Shoo Zake Huko Zenith, Bercy na Olympious Lazima Watu Wajae Kupita Kiasi na Baadhi Pia Wapoteze Maisha na Ndiyo Pekee Ambaye Anaongoza Kwa Kupiga Shoo za Gharama Kubwa na Bado Watu Wanamiminika na Kwa Faida Yenu tu DRC Nzima Anayeongoza Kwa Kupiga Live Shows ni Wenge Musica BCBG wakati Anayeongoza Kwa Kupiga Shows za Kurekodi DRC Nzima ni Koffi Olomide wa Quarter Latin huku Werrason Akiwa tu Katikati Yao. Tunaendelea Msafiri Diof Anamuiga Repa Wa Iliyokuwa Bendi Ya Quarter Latin Academia Aitwae Parabolic, Kitokololo Nae Anamuiga Repa Bora na Maarufu wa Wenge BCBG Aitwae Antibiotique Lisimo ambaye Sasa Anatamba Mno na Repa Zake za Punda, Biloko na Rota Rota, Kalala Junior Anamuiga Mboshi Bola wa Bendi Ya Sasa Ya Ferre Gola na Chokoraa Anamuiga Repa wa Wazekwa aitwae Gesac. Kila la Kheri Wana Jamii Forum Wenzangu na Weekend Njema Pia.
Mkuu je,Banza Stone mwalimu wa walimu unamzungumziaje?
Nalog off
 
Mkuu huyu Mbilia bel anatokea kabila gani maana kuna mlingala hapa anasema kuna nyimbo huwa hamuelewi anaimba kwa kutumia lugha ipi?
Je,kati ya Mbilia bel na Tshalla Muana nani mkali?
Namsikia koffi na Jb mpiana wanamtaja huyu Mama koleta zongo,ndiye nani?
cc: GENTAMYCINE
Nalog off
 
Hii dunia inavituko sana. Mbavu zangu zimecrack. Haka kadada si kapo kwenye kichekesho fulani hivi ambacho jamaa anakaita halafu kenyewe kanachonga mpaka jamaa anaogopa halafu kanampa na namba ya simu?
Ndiye huyu huyu.
Nalog off
 
mkuuu MAMAA COLETHA NZONGO ni mama mmoja hivi anapenda sana mziki ndo maana unasikia jamaa anamtaja ni kama anavyo tajwa ZAKARIA BABABASWE
Mkuu huyu Mbilia bel anatokea kabila gani maana kuna mlingala hapa anasema kuna nyimbo huwa hamuelewi anaimba kwa kutumia lugha ipi?
Je,kati ya Mbilia bel na Tshalla Muana nani mkali?
Namsikia koffi na Jb mpiana wanamtaja huyu Mama koleta zongo,ndiye nani?
cc: GENTAMYCINE
Nalog off
 
MKUU umejitahidi ila kiukweli mkali wa KUIJAZA NI ZENITH,BERCY na OLYMPIA NI WERASSON NGIAMA MAKANDA mfalme wa misitu.Jamaa anaogopeka ile mbaya alishawahi kupiga ZENITH kwa siku mbili na ukumbi ukatapika ilikuwa bado kidogo apige siku ya 3 sema basi tu!!! DOUBLE ZENITH chezea WERASSON WEWE!!! GESAC TCHIPOYI kwa sasa hana bendi ila na yeye yasemekana alikuwa akimuiga BILL CLONTON anavo-rap kuna wimbo wa kofii unaitwa ezanda combo au BLA BLA BLA jamaa alirap vizuri sana.ILA RAISI WA MA-ATALAKU WOTE KULE KONGO NI BILEKU MMPASI a.k.a DJOUNA MUMBAFU BIG ONE injini kama sio gear box ya bendi ya ampere bakuba kabla haijafa..
Nilidhani Unaulizia Marepa Kutoka DRC Kumbe ni Hawa Marepa wa Kichovu wa Kibongo? Muumin Mwinjuma Anamuiga Repa wa Bozi Boziana aitwae THEO MBALA, Saulo Ferguson Anamuiga Repa wa Werrason aitwae Rwinga Keps Brigade Sabatier, Romario wa Msondo Ngoma Siamini kama ni Repa Kwani Huwa Ananong'ona tu na Kuonyesha Mzuzu Wake, Sauti Ya Radi Anamuiga Aliyekuwa Repa Maarufu wa Werrason Aitwae Bill Clinton Kalondji ambao Kwa Msiojua Hawa Wote Famillia Yao ni Ya Marepa Watupu Kwani Bill Clinton Kalondji ndiyo Kaka Mkubwa na Alikuwa ni Repa Wa Werrason ila Kwa Sasa Anajitegemea na Bendi Yake na Ametoa Album iitwao Philanthropist huku Wa Pili Kuzaliwa Kwao ni Kerozene Kalondji ambaye Alikuwa ni Repa Maarufu sana Wa Bendi Ya Koffi Olomide Ya Quarter Latin na Ukitaka Usikie Shughuli Yake Tafuta ile Album Ya Koffi Olomide iitwayo Effrakata na Wa Mwisho Kwao Kuzaliwa na Ambaye ndiyo Ana Kipaji Kikubwa cha Kurepu na Kwa Msiojua Hao Kaka Zake Wote Wanapata Mafunzo Kutoka Kwa Huyu Mdogo Wao na Anaitwa Jeune Kalondji Cellulaire ambaye Yupo Kwa Kipenzi Changu na Makao Makuu Ya Chuo cha Muziki DRC ktk Bendi Bora na Maarufu Ya Wenge Musica BCBG Chini Yake Papa Cherie au Dela Patria au Souverain Premiere au Munkulu Ya Bamukulu au Moto Pamba au Leader Charismatic Jean Bedele Tshuka Mpiana ( JB MPINA) Ambayo Kila Ikifanya Shoo Zake Huko Zenith, Bercy na Olympious Lazima Watu Wajae Kupita Kiasi na Baadhi Pia Wapoteze Maisha na Ndiyo Pekee Ambaye Anaongoza Kwa Kupiga Shoo za Gharama Kubwa na Bado Watu Wanamiminika na Kwa Faida Yenu tu DRC Nzima Anayeongoza Kwa Kupiga Live Shows ni Wenge Musica BCBG wakati Anayeongoza Kwa Kupiga Shows za Kurekodi DRC Nzima ni Koffi Olomide wa Quarter Latin huku Werrason Akiwa tu Katikati Yao. Tunaendelea Msafiri Diof Anamuiga Repa Wa Iliyokuwa Bendi Ya Quarter Latin Academia Aitwae Parabolic, Kitokololo Nae Anamuiga Repa Bora na Maarufu wa Wenge BCBG Aitwae Antibiotique Lisimo ambaye Sasa Anatamba Mno na Repa Zake za Punda, Biloko na Rota Rota, Kalala Junior Anamuiga Mboshi Bola wa Bendi Ya Sasa Ya Ferre Gola na Chokoraa Anamuiga Repa wa Wazekwa aitwae Gesac. Kila la Kheri Wana Jamii Forum Wenzangu na Weekend Njema Pia.
 
MKUU umejitahidi ila kiukweli mkali wa KUIJAZA NI ZENITH,BERCY na OLYMPIA NI WERASSON NGIAMA MAKANDA mfalme wa misitu.Jamaa anaogopeka ile mbaya alishawahi kupiga ZENITH kwa siku mbili na ukumbi ukatapika ilikuwa bado kidogo apige siku ya 3 sema basi tu!!! DOUBLE ZENITH chezea WERASSON WEWE!!! GESAC TCHIPOYI kwa sasa hana bendi ila na yeye yasemekana alikuwa akimuiga BILL CLONTON anavo-rap kuna wimbo wa kofii unaitwa ezanda combo au BLA BLA BLA jamaa alirap vizuri sana.ILA RAISI WA MA-ATALAKU WOTE KULE KONGO NI BILEKU MMPASI a.k.a DJOUNA MUMBAFU BIG ONE injini kama sio gear box ya bendi ya ampere bakuba kabla haijafa..
Yuko wapi siku hizi huyu BILEKU MMPASI.
Nalog off
 
Nilidhani Unaulizia Marepa Kutoka DRC Kumbe ni Hawa Marepa wa Kichovu wa Kibongo? Muumin Mwinjuma Anamuiga Repa wa Bozi Boziana aitwae THEO MBALA, Saulo Ferguson Anamuiga Repa wa Werrason aitwae Rwinga Keps Brigade Sabatier, Romario wa Msondo Ngoma Siamini kama ni Repa Kwani Huwa Ananong'ona tu na Kuonyesha Mzuzu Wake, Sauti Ya Radi Anamuiga Aliyekuwa Repa Maarufu wa Werrason Aitwae Bill Clinton Kalondji ambao Kwa Msiojua Hawa Wote Famillia Yao ni Ya Marepa Watupu Kwani Bill Clinton Kalondji ndiyo Kaka Mkubwa na Alikuwa ni Repa Wa Werrason ila Kwa Sasa Anajitegemea na Bendi Yake na Ametoa Album iitwao Philanthropist huku Wa Pili Kuzaliwa Kwao ni Kerozene Kalondji ambaye Alikuwa ni Repa Maarufu sana Wa Bendi Ya Koffi Olomide Ya Quarter Latin na Ukitaka Usikie Shughuli Yake Tafuta ile Album Ya Koffi Olomide iitwayo Effrakata na Wa Mwisho Kwao Kuzaliwa na Ambaye ndiyo Ana Kipaji Kikubwa cha Kurepu na Kwa Msiojua Hao Kaka Zake Wote Wanapata Mafunzo Kutoka Kwa Huyu Mdogo Wao na Anaitwa Jeune Kalondji Cellulaire ambaye Yupo Kwa Kipenzi Changu na Makao Makuu Ya Chuo cha Muziki DRC ktk Bendi Bora na Maarufu Ya Wenge Musica BCBG Chini Yake Papa Cherie au Dela Patria au Souverain Premiere au Munkulu Ya Bamukulu au Moto Pamba au Leader Charismatic Jean Bedele Tshuka Mpiana ( JB MPINA) Ambayo Kila Ikifanya Shoo Zake Huko Zenith, Bercy na Olympious Lazima Watu Wajae Kupita Kiasi na Baadhi Pia Wapoteze Maisha na Ndiyo Pekee Ambaye Anaongoza Kwa Kupiga Shoo za Gharama Kubwa na Bado Watu Wanamiminika na Kwa Faida Yenu tu DRC Nzima Anayeongoza Kwa Kupiga Live Shows ni Wenge Musica BCBG wakati Anayeongoza Kwa Kupiga Shows za Kurekodi DRC Nzima ni Koffi Olomide wa Quarter Latin huku Werrason Akiwa tu Katikati Yao. Tunaendelea Msafiri Diof Anamuiga Repa Wa Iliyokuwa Bendi Ya Quarter Latin Academia Aitwae Parabolic, Kitokololo Nae Anamuiga Repa Bora na Maarufu wa Wenge BCBG Aitwae Antibiotique Lisimo ambaye Sasa Anatamba Mno na Repa Zake za Punda, Biloko na Rota Rota, Kalala Junior Anamuiga Mboshi Bola wa Bendi Ya Sasa Ya Ferre Gola na Chokoraa Anamuiga Repa wa Wazekwa aitwae Gesac. Kila la Kheri Wana Jamii Forum Wenzangu na Weekend Njema Pia.
mkuu operesheni kimbunga imekukosaje?
 
kitu banza stone kule msafiri diouf...

hilo teja hapo kwenye bluu siku moja lilivamia kwenye meza yetu pale JACARANDA pub,kinondoni,dah,yani jamaa kama chizi siku hzi,chafuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom