Wakuu kama kuna mtu anayo hii series ya wa Korea, tafadhari naomba msaada tutani. Nimejaribu kununua CDs lakini zote ubora wake F, so kwa yeyote mwenye anazo downloaded files would be great.
Wakuu kama kuna mtu anayo hii series ya wa Korea, tafadhari naomba msaada tutani. Nimejaribu kununua CDs lakini zote ubora wake F, so kwa yeyote mwenye anazo downloaded files would be great.
uko wapi mkuu....???
Ninayo IRIS 2.. ni mwendelezo wa hiyo 1.
for your own reference, I have the following.
1. BOYS BEFORE FLOWERS very interesting
2. CITY HUNTER
3. ILJIMAE (historical drama, interesting)
4. THE DUO (historical drama)
5. THE LEGEND (historical drama)
5. TREE WITH DEEP ROOTS(historical drama)
6. BAEK DONG SOO (historical)
7. LOVE RAIN (modern drama)
8. THE ROMANTIC PRINCESS ( from Taiwan, but very interesting)
I got mob, but those are my favorite.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.