Best actor ni John Depp

Best actor ni John Depp

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
540
John depp ni noumaa aisee uyu m2 napenda mambo yake ya kichiz yan kama ktk muvi ya pirates of carribean kama sparrow ila nmemkubal zaid ktk behind the scene ktk muv ya rango.

attachment.php
 
Attachments

  • johnny-depp-pirates.jpg
    johnny-depp-pirates.jpg
    53.8 KB · Views: 82
Hivi unajua Johny Depp movie aliyocheza vizuri kuliko zote ni
Public Enemy..??
 
Huyu jamaa ni balaa yan asa kwenye pirates of carribean ameuwa balaaa
 
Ata rango amefanya vzr alinichekesha sana aliponywea wakat anapigwa mkwara na nyoka
 
Hiyo siyo animation, sijaicheki bado but huyo jamaa ni nouma kwenye movie zake nlizowahi cheki hajanidisapoint hata moja
 
He is my best! Pirates of Caribbean...Capt. Jack Sparrow amefanya vizuri sana.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Brad pitt,Idris Elba,Denzel washington,leornado De caprio.....those are my best actors.and also John Deep.
 
huyu ni funga kazi.n

Ukitaka hakikisha mcheki kwenye pirates of the carribean zote!
 
anajifanyishaga au maana movie karibu zote anacheza akiwa na miondoko kama ya kulewa lewa hivi..:smile-big:
 
Kuna lone rangers nliona trailer lake lina miondoko ya kipirates of carribean
 
John depp ni noumaa aisee uyu m2 napenda mambo yake ya kichiz yan kama ktk muvi ya pirates of carribean kama sparrow ila nmemkubal zaid ktk behind the scene ktk muv ya rango.

Usiingize mapenz binafsi juu ya ubora wa kazi, ukweli ni kwamba industry bora ya filamu kwa sasa ni bollywood na actor anayekick ni shahrukh khan
 
Usiingize mapenz binafsi juu ya ubora wa kazi, ukweli ni kwamba industry bora ya filamu kwa sasa ni bollywood na actor anayekick ni shahrukh khan

hilo pia penzi binafsi sema kila mtu ana actor ama actress anayemvutia kutokana na type ya drama inayomvutia wengine mashabiki wa bean na Eddie Murphy wapo wanaompenda Nicholas cage na wengne kwa jet lii huwatoi
 
Usiingize mapenz binafsi juu ya ubora wa kazi, ukweli ni kwamba industry bora ya filamu kwa sasa ni bollywood na actor anayekick ni shahrukh khan

Mbona kama mwenzetu ndio una mahaba binafsi....maana kwa wengine kwa Tyler Perry ndio habari ya mjini....Kila mtu ana uhuru wa kuchagua kilicho bora kwake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom