Wimbo huu unaitwaje?

Wimbo huu unaitwaje?

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
WADAU,

Kuna hii ngoma uwa inapigwa sana kwenye maeneo ya starehe inaenda na radha ya kukata mauno...yani ndio uibwa hivyo...kiuno kiuno...nimetry kuicheck youtube sijapata matokeo...so nadhani nakosea kuandika jina la wimbo. Kwa mwenye kuufahamu plz anipe jina.
 
WADAU,

Kuna hii ngoma uwa inapigwa sana kwenye maeneo ya starehe inaenda na radha ya kukata mauno...yani ndio uibwa hivyo...kiuno kiuno...nimetry kuicheck youtube sijapata... Kwa mwenye kuufahamu plz anipe jina.

Jitahidi kuongezea nyama ili tuweze kuufahamu ni wimbo gani na kama tunao tukupatie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom