Orodha ya wasanii matajiri afrika mashariki

Orodha ya wasanii matajiri afrika mashariki

RUGE12

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
19
Reaction score
0
kutoka gazeti maarufu nchini Kenya ifuatayo ni orodha ya wasani matajiri
1.JAGUAR(KENYA)
2.PREZZO(KENYA)
3.CHAMELEON(UG)
4.BOBI WINE(UG)
5.BEBE COOL(UG)
Tz tuko nyuma
 
Nyie si mnasema diamond tajiri hata top 20 hayupo
 
Umetumia source ipi?! Na hiyo source ilitumia methodology ipi kufahamu utajiri wa wahusika? By the way, Huo utajiri wao mbona hutaja? Ni utajiri wa mashairi, vitega uchumi, cash money au nini hasa?!
 
Jana Diamond kawapeleka watoto 2 walioshinda Ngololo East Africa International School.

Who else!
 
kutoka gazeti maarufu nchini Kenya ifuatayo ni orodha ya wasani matajiri
1.JAGUAR(KENYA)
2.PREZZO(KENYA)
3.CHAMELEON(UG)
4.BOBI WINE(UG)
5.BEBE COOL(UG)
Tz tuko nyuma
Safi kabisa, wa Tz wasanii wakipata hela wana wekeza kwenye nyuchi tu!!!! Tena hela zenyewe zinapatikana kwa kuwa punda wa sembe, ni za mashetani hazikawii hizo. Wenzao wakipata hela wanaweka vitega uchumi vinazalisha huku nao wakipiga mzigo. Message sent to Diamond Platnumz na wengine, wajue kazi za wasanii wa aina zote huwa nazo zinafifia with time. Wengine wanachipukia, so ukipata pesa ukiwa young star or celeb ni vema uwekeze maana kama huna ubunifu with time unakuwa outdated!!! Where is Mr. Nice???
 
Weka chanzo (source) ya habari yako tafadhali....:focus:
 
jose chameleon ni wa 10 kwa utajili(wanamuziki) africa, na kwa upande wa east africa yuko peke yake, cha kushangaza hapo kawa wa tatu, noumer!
 
Credibility ya source yako ni questionable therefore it can't be trusted
 
Hio list ni fake imeandaliwa bila kufatilia. Bob wine na jose wana utajiri kuliko uyo mswati prezzo
 
Wengine utajiri wao ni wakurisi kama prezo hana jipya iyo takwimu niya long kabla hata kanumba hajafarik
 
kutoka gazeti maarufu nchini Kenya ifuatayo ni orodha ya wasani matajiri
1.JAGUAR(KENYA)
2.PREZZO(KENYA)
3.CHAMELEON(UG)
4.BOBI WINE(UG)
5.BEBE COOL(UG)
Tz tuko nyuma

link yake mkuu plz..
 
Orodha ya matajiri wa mtaani kwenu huijui! utajua mambo ya afrika mashariki!
hiyo post yako ni 0+0=?
 
Kwanza utajiri wa mtu sio pesa ni vitega uchumi kwa wenzetu majuu,je hao umewatathmini vipi?
 
Back
Top Bottom