Watanzania hamjastuka tunaibiwa jamani?!?!

Watanzania hamjastuka tunaibiwa jamani?!?!

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Nimestuka kuna wizi mbaya unaofanywa na wasanii hasa wa filamu,utakuta msanii anatoa movie inapart mbili,wakati angeweza kuweka part 1 tu,ila utatizama part one inaishia mtu anaenda kazini kisha unaambiwa watch part two,haa ni wizi,wenzenu hawafanyi hivyo,that why watu wananunua zile za buku buku,ila hamna noma ngoma droo,mi nanunua za buku napata hadithi yote ubora potelea mbali ujumbe nimeshapata,wewe msanii unapata hela ya kuvaa miwani na pombe
 
Wenyewe wanasingizia eti ukiweka part moja na kuuza bei kubwa watu hawanunui wakati ni uongo mtupu.
 
Hawa hawana lolote na tena baada ya kanumba kufariki na tasnia ya filam yote imekufa maana kwa sasa ndo filam hakuna kabisaa za kibongo uozo mtupu!

Artist hawakui kuigiza,low quality production na story zisizosisimua ni miongon mwa sababu zinazonifanya nishindwe kabisa kuangalia izi filam za kibongo

Jaman km kuna wasanii wa hiyo fani humu jf nawauliza hivii...kwani sasa ivi imekuwaje mbona km tasnia yote ya filam imeshuka?au aliyekuwa anawapa changamoto ya production nzur toka aondoke dunian na nyie pia wote mmerest in peace?

Mi nadhan bado mna chance ya kuimprove kwa hata kuwaangalia wenzetu wa Kenya nafikiri pia wametuzid sana kene iyo aspect
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom