Dah hawa jamaa wanaimba kama malaika...Pentatonix royals

Dah hawa jamaa wanaimba kama malaika...Pentatonix royals

Hii video imepostiwa Nov 25, 2013 na mpk leo imeangaliwa na watazamaji milioni 29, its real nice to watch the pentamix
 
I like when huyo dada(Kirstie) akismile flani hivi na hyo sauti yake, ingekuwa hivi wanaimba wanainjili wa tz ingekuwa safi mno big up kwa Royals
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom