Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,080
Jamani mimi huwa nayafuatilia sana,yanaonyeshwa EATV Jumamosi saa moja usiku na j5 saa moja.
Ila siwaelewi majaji hua wanaangalia vigezo gani kwa washiriki.
Utakuta washiriki wanadance vizuri ila majaji maksi wanazotoa znakatisha tamaa.
Tafadhali jamani msiwe mnakatisha tamaa kihivyo.
Majaji ni lotus,nyamwela na queen darlin.
Basi muwe mnatoa vigezo vinahtajika maana kuna washiriki wametoka KIGOMA ila hizo marks sasa mnakatisha tamaa
Wapeni moyo wa mikoani jamani ili kuleta ushindani wa kweli na wala si DAR peke yake labda km ni mashindano ya DAR tu!
Ni hayo tu kwa leo km ---- wengine wanafatilia km mimi watachangia maaa mi binafs nakipenda.