Mwenye nyimbo za Pat Shange

Mwenye nyimbo za Pat Shange

Agogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
2,742
Reaction score
3,009
napenda sana nyimbo za huyu jamaa nazitafuta naomben msaada wa kuzipata (audio) natanguliza shukrani za dhati
 
napenda sana nyimbo za huyu jamaa nazitafuta naomben msaada wa kuzipata (audio) natanguliza shukrani za dhati

Nyimbo za South Africa miaka ya 85 hadi 89 wakati artists wao wako juu zimekuwa adimu . Siku hizi ni huu ujinga tu wa makirikiri. Pat Shange alinikuna sana na vitu kama Shayile Time, Anytime Baby, I am not a Casanova, Sweet Mama, Love is like a banking account na Man oh Man.
 
Naishia kuziangalia YouTube
 
Back
Top Bottom