Seven Days and One Week " is a
song by Italian-French trance music
act B.B.E. . It was released in July
1996 as the lead single from their
debut album, Games. As a
representative of the...
Leo nimewaludisha nyuma katika historia ya muziki uko marekani na kukutana na kundi la s.w.v (sister with voice) kundi hili liliotetemesha kipindi iko lilikuwa likiundwa na wadada watatu,coco...
Hbaba jukwaa moja na jb mpiana hii shoo angekuaa kijana wetu wa bonde la tandale jukwaa moja na nguli kama huyu kwa upande wa mziki wake jukaa lingekoma
Ndg
naomba mwenye nyimbo ya Nachechemea iliyoimwa na Hussein Jumbe pia na nyimbo ya huruma kwa wagonjwa ya DDC mliman park anisaidie au anielekeze namana ya kuzipata.
Natanguliza shukran
msanii diamond aanika kilichokuwa chanzo cha bifu la yeye na BOB JUNIOR na namna chanzo hicho kilivyochangia kuharibu mahusiano yake na mrembo WEMA SEPETU click here/bofya hapa kwa full info.
habari senu jamani ninaomba nisaidiwe kama kuna mdau ana nyimbo hizi mbili anifanyie attacment please.............BABA JANE BYE BYE wa ALLY CHOKI na PAULINA wa ANDREW SEKEDIA pleaSE JAMANI...
Miraji Shakashia akikung'uta solo akiwa na Vijana Jazz mwaka 1993. Waimbaji hapa (kutoka kushoto) ni Jerry Nashon "Dudumizi", Mohamed Salum "Gotagota" na Abdallah Mgonahazeru. Pia yupo John...
Wadau wa muziki wa wa dansi. Kuna nyimbo nimezikumbuka za siku nyingi kama kuna anayeweza kuweka hapa jamvini itakuwa faraja iliyoje kwangu, maana sijui jinsi ya kuzipata ukizingatia siku hizi...
Habari wana Jamvi
kuna nyimbo flani ya zamani nakumbuka tu mistari yake inambwa hv "mama mdogo ananitess njoo unichukue haraka" ila kwa sasa imetoka katika version mpya nadhani wameirudia...
Ilikuwa siku ya furaha kwake mtoto mzuri,mrembo aliye zaliwa ktk familia ya kimasikini,Bwana cris ilikumuonyesha kuwa mtoto wa kike mahali alipo penda hajakose Alikwenda na gari mbiliza kifahari...
Na Mwandishi Wetu
Afya ya Miss Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu ina tatizo, mwili wake umetoa majibu na daktari amethibitisha.
Uchunguzi umebaini kuwa Wema anasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa...
Naomba mwenye huu wimbo aniwekee.Ni wimbo wa Zilipendwa lakini jina lake silijui ila baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo;
Kumbuka matesi uliyonipa kulala njaa na watoto mateso yako siwezi...
Anaanza "mimi ndo msanii pekee ninayefanya Hip Hop, wengine sijui wanafanya nini" anaendelea "namsaka mwanangu roma naona kapotea" anaenda mbali zaidi anasema "hivi lile goli kala alipatia?"...
Nafahamu kuwa radios stations zinatakiwa kuwalipa wanamuziki kwa kutumia kazi zao. Kwa hapa Tanzania nasikia haziwalipi kwa kigezo kuwa kucheza nyimbo zao ni kuwa-promote kwa hiyo ni faida kwa...