Mtu anajibu hapo hapo,anaropoka huku akipangilia vina,majibu anayotoa ukiwaza kama yanakufikirisha but yeye anapangaje kwa kuongea tu?
fuatilia wengi wanaofanya freestyle.
Mimi nahitaji series kali ambazo znafanana na
24
prisonbreak
nikita
arrow ambayo bado inaendelea kutoka
NB: hizo za juu ndio series ambazo nmewahi kuziangalia
-Baadhi ya wasanii waliotajwa kuwepo hawakuwepo!
-Wananchi wazuiliwa kuingia na vinywaji,vyakula,sigara, kila kitu kiliuzwa ndani!
-Marufuku kupiga picha,/kuingia na camera!
-Marufuku mtu...
EUROPES LARGEST AFRICAN MUSIC FESTIVAL AFRICA UNPLUGGED PRESENTS
DAVIDO TIWA SAVAGE DIAMOND PLATNUMZ
O2 Academy Brixton and The Ritz in Manchester play host to Africa Unplugged, home to...
Huu ndo wimbo mpya wa Ali kiba - mwanaDSm..
Katoa nyimbo mbili,pamoja na kimasomaso{reproduced version},lakin huu ndo FLAGSHIP yake..
Mahadhi ya kipekee kabsa,midundo ya kipekee ilopigwa na Man...
Kwa kipindi kerefu tumekuwa tunatamani kuwa na bendi za uhakika zenye kuweza kuburudisha na kuelimisha jamii. Hasa baada ya bendi nyingi kuchoka kutokana na kuzeeka kwa waimbaji wake, hatimaye...
This is an UPDATED "Hamna Mwingine" HD Music Video from Worriors From The East Band, DIRECTED BY Michael Ngusa, Arusha - Tanzania
Updated HD Music Video "Hamna Mwingine" - YouTube
Hayo ndio matamasha makubwa mawili nchini Tanzania ambayo yanafanyika kila mwaka.
Kwa mtazamo wako binafsi, unadhani kati ya Serengeti Fiesta na Kili Music Tour wapi ni bora zaidi (katika kila...
Wanakuja tena!
Baada ya kimya cha kitambo kidogo hadi kufikia hatua ya washabiki wao kudai kuwa kuna tetesi za kundi lao kuvunjika sasa Orijino Komedi wanarudi tena msimu mwingine.
Bado...
Habari wana jamvi! Jaman naombeni link ya uzi wa riwaya ya wakili wa moyo... sikumbuki ni nani aliuweka but Nahitaji sana kuupitia... natumaini ntapewa ushirikiano!!!!
Watch "ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OF " on YouTube
ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OF : ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OFFICIAL VIDEO) - YouTube
Hii coincidence imekaaje, fiesta ilienda Musoma siku moja kabla ikatokea ajali kubwa sana iliyogharimu maisha ya watu40, zamu hii wanaenda geita majanga tena, majambazi yakavamia kituo cha polisi...
leo nilikuwa eneo la uyole,mbeya. kulikuwa na ''tamasha'' la ngoma za asili. ngoma hizoma zimenikosha mno. nimeitambua ling'oma tu ambayo kiasili ni ngoma ya wanyakyusa. kutokana na ushamba...
click here Watch "Heri Muziki...Don't Judge me (Cover)" on YouTube
Heri Muziki...Don't Judge me (Cover): Heri Muziki...Don't Judge me (Cover) - YouTube
Ukibonyeza hiyo link utakubaliana na...