Kwa wapenzi wa James Hadley Chase

Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,880
Points
2,000
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,880 2,000
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
4,078
Points
1,225
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
4,078 1,225
The best author ever, i remember the sucker punch " a guy who thinks he is safe, he is wide open for a sucker punch, just when he least expects it, wham he is down on his back"
 
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,553
Points
1,250
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,553 1,250
The best author ever, i remember the sucker punch " a guy who thinks he is safe, he is wide open for a sucker punch, just when he least expects it, wham he is down on his back"
or 'Come easy go easy' vijana just like us searching 4 success working in Safe boxes company get carried away and plan a plot to steal after fixing one guy's box with loads of cash in it. Yaliyowapata balaa. Inatufundisha sana hii vijana 2siwe na tamaa ya pesa. Veryy good stuff
 
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,553
Points
1,250
Good Guy

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,553 1,250
Ingine 'The things men do'. Yaani hii sasa ndo BHAAAS. Kwanza ukisoma page 2 tu lazima uimalize, maana inavoanza 2 inakulazimisha. Inaanza jamaa anaendesha gar yake at night alone then anakutana na msichana in d middle of no where akiwa na JAGUAR typa car(high class) imeharibika. The guy stops and tells her its her lucky day maana ye ni car engineer but tatzo linakua kubwa jamaa anampa lift then gar ataiijia her girlfriend. Ndan sasa ya lift jamaa ndo anagundua huyu ni very hot girl also anashindwa kuelewa how she got ol dat money na akiwa mdogo hivo wakat jamaa ye ni fukara. Conversation yao inawapeleka mbali and yaliyomkuta jamaa CHASE anayajua
 
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
4,078
Points
1,225
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
4,078 1,225
Dingswayo, pitia hii link hapa chini kuna vitabu kama 60 alivimwaga mkuu wun su vya James Hadley Chase.
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/315875-kuna-kitabu-chochote-ulikua-unakihitaji-nitafute.html
Kwa wapenzi wa vitabu vya James Hadley Chase: Anayehitaji kitabu maalum aniambie. Mimi naomba mwenye 'One bright Summer Morning' anipatie.
Hee long time!
or 'Come easy go easy' vijana just like us searching 4 success working in Safe boxes company get carried away and plan a plot to steal after fixing one guy's box with loads of cash in it. Yaliyowapata balaa. Inatufundisha sana hii vijana 2siwe na tamaa ya pesa. Veryy good stuff
Ingine 'The things men do'. Yaani hii sasa ndo BHAAAS. Kwanza ukisoma page 2 tu lazima uimalize, maana inavoanza 2 inakulazimisha. Inaanza jamaa anaendesha gar yake at night alone then anakutana na msichana in d middle of no where akiwa na JAGUAR(gari) imeharibika. The guy stops and tells her its her lucky day maana ye ni car engineer but tatzo linakua kubwa jamaa anampa lift then gar ataiijia her girlfriend. Ndan sasa ya lift jamaa ndo anagundua huyu ni very hot girl also anashindwa kuelewa how she got ol dat money na akiwa mdogo hivo wakat jamaa ye ni fukara. Conversation yao inawapeleka mbali and yaliyomkuta jamaa CHASE anayajua
Mnanikumbusha mbali saaana. MISISON TO SIENA, True friendship between Don Micklem and John Telegath. I will be back here for more.
 
Shixi889

Shixi889

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
339
Points
225
Shixi889

Shixi889

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
339 225
Aisee mmenikumbusha mbali kweli i used to collect this novels nlipokua secondary na i have them like 12 ivyi nw i cant get tired of them...!!!!my best are lay her among lilies,make the corps walk,u will never know with women,this is it,no orchids for miss blandish,i will bury my dead...!! duuh!!gec all of them!!!!
 
The Pen

The Pen

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
761
Points
0
The Pen

The Pen

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
761 0
Naomba mnikumbushe title ya ile novel ambayo story yake inahusu stamp.
 
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,075
Points
1,500
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,075 1,500
Aisee mmenikumbusha mbali kweli i used to collect this novels nlipokua secondary na i have them like 12 ivyi nw i cant get tired of them...!!!!my best are lay her among lilies,make the corps walk,u will never know with women,this is it,no orchids for miss blandish,i will bury my dead...!! duuh!!gec all of them!!!!
...My favorite was 'The World in my Pocket' halafi ile ya 'No Orchids for Miss Blandish' ambayo pia ilipata kuchezwa filau 'The Grissom Mob'. Halafu zote zilizomhusu Detective 'Mkorofi' Tom Lepski, Zote zilizomhusu Milionaire Don Miklem za Mission to Siena na Mission to Venice na kulikuwa na ya tatu na zote zilizomhusu Jasusi wa Kulipwa Mark Girland akipambana na yule Jasusi wa Kirusi nimemsahau jina kwenye Novel tatu na ya Mwisho wanakubaliana yaishe, wasiaune wakati mabosi wao wamekaa tu ofisini!! Ah Those were the days when Books were our Televisions and Films...!
 
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,075
Points
1,500
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,075 1,500
Aisee mmenikumbusha mbali kweli i used to collect this novels nlipokua secondary na i have them like 12 ivyi nw i cant get tired of them...!!!!my best are lay her among lilies,make the corps walk,u will never know with women,this is it,no orchids for miss blandish,i will bury my dead...!! duuh!!gec all of them!!!!
...My favorite was 'The World in my Pocket' halafu ile ya 'No Orchids for Miss Blandish' ambayo pia ilipata kuchezwa filamu 'The Grissom Mob'. Halafu zote zilizomhusu Detective 'Mkorofi' Tom Lepski, Zote zilizomhusu Milionaire Don Miklem za Mission to Siena na Mission to Venice na kulikuwa na ya tatu na zote zilizomhusu Jasusi wa Kulipwa Mark Girland akipambana na yule Jasusi wa Kirusi nimemsahau jina kwenye Novel tatu na ya Mwisho wanakubaliana yaishe, wasiaune wakati mabosi wao wamekaa tu ofisini!! Ah Those were the days when Books were our Televisions and Films...!
 
Shixi889

Shixi889

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
339
Points
225
Shixi889

Shixi889

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
339 225
...My favorite was 'The World in my Pocket' halafu ile ya 'No Orchids for Miss Blandish' ambayo pia ilipata kuchezwa filamu 'The Grissom Mob'. Halafu zote zilizomhusu Detective 'Mkorofi' Tom Lepski, Zote zilizomhusu Milionaire Don Miklem za Mission to Siena na Mission to Venice na kulikuwa na ya tatu na zote zilizomhusu Jasusi wa Kulipwa Mark Girland akipambana na yule Jasusi wa Kirusi nimemsahau jina kwenye Novel tatu na ya Mwisho wanakubaliana yaishe, wasiaune wakati mabosi wao wamekaa tu ofisini!! Ah Those were the days when Books were our Televisions and Films...!

ya mark Girland nimesoma this is for real,na ya tom lepski nimesoma have a nice nite nakumbuka in those days these novels used kip me bizy sana....!!!!!duh!!nlikua mtoto mzuri kweli....!!!!
 
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,075
Points
1,500
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,075 1,500
ya mark Girland nimesoma this is for real,na ya tom lepski nimesoma have a nice nite nakumbuka in those days these novels used kip me bizy sana....!!!!!duh!!nlikua mtoto mzuri kweli....!!!!

...Ulisoma 'Want to Stay Alive?' ya yule Ponjoro Poke Toholo? Kwenye 'This is For Real' bila shaka Ulimsoma Yule Binti Jasusi Janine Daulnay alivyokuwa akicheza the end against the middle na mwisho wake ikawa kujiua mwenye pale alipokuwa apigwe mande na waarabu...!
'I will Bury My Dead'...
'An Ace Up my Sleeve'...
'Tiger by the Tail'...
'An Ear to the Ground'...

Shixi889

Shixi889

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
339
Points
225
Shixi889

Shixi889

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
339 225
...Ulisoma 'Want to Stay Alive?' ya yule Ponjoro Poke Toholo? Kwenye 'This is For Real' bila shaka Ulimsoma Yule Binti Jasusi Janine Daulnay alivyokuwa akicheza the end against the middle na mwisho wake ikawa kujiua mwenye pale alipokuwa apigwe mande na waarabu...!
'I will Bury My Dead'...
'An Ace Up my Sleeve'...
'Tiger by the Tail'...
'An Ear to the Ground'...

acha kabsa nakumbuka janine alikua agent baada ya kuwa board na maisha yake thn akaishia kua double agent,malipo yake kifo nakumbuka sana an ace upon my sleeve kijana hndsome kumbe gay,na black mail za nguvu also i will bury my dead yani james was a genius kwa kweli umeisoma lady here is your wreath??the warytransgressor...!!!na nyingine kibao nmesahau!!!yani honestly speaking nlijifunza mambo mengi kwa hizi novel ziliniinspire mpaka nkatamani kuwa one of secret service agent....!!!!
 
911

911

Platinum Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
791
Points
500
911

911

Platinum Member
Joined Aug 22, 2008
791 500
nadhani ni you're dead without money.nimekitafuta sana sijakipata.mwenye kuwa nacho jamani.plssss
 
Bakulutu

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
2,145
Points
2,000
Bakulutu

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
2,145 2,000
viko ndan kama 10, vya mshua , mimi sio mpenzi wa story ki vile so sina hata muda navyo, alividalajia vizuri mpaka raha...tangia 1992 had leo viko safi mama anavitunza...
 
Ila umenipa hamu ya kwenda pekua pindi napoenda x-mass...
 
Tuyuku

Tuyuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
3,302
Points
2,000
Tuyuku

Tuyuku

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
3,302 2,000
najivunia kuwa ktk maktaba yangu nina collection nzima ya James Hadley Chase!
 
Forum statistics

Threads 1,294,752
Members 498,027
Posts 31,187,032
Top