Ninakipaji cha Kufanya Muziki Naomba ushauri wenu

Ninakipaji cha Kufanya Muziki Naomba ushauri wenu

pablo hernadz

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
22
Reaction score
0
Habari wapendwa wana jamii forum nilikuwa nataka msaada hata maoni. Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 19 Nina kipaji cha kuimba muziki kama rnb and pop kwa hiyo nilikuwa nahitaji msaada na ushauri.

Nitashukuru kama mkinipa maoni hata msaada peace and love.
 
Kijana unasema unaomba maoni hata msaada....ebu fafanua msaada wa nini huo unataka? Watu vidole vimeshaanza cheza na keypad za simu kwa kubonyesha *150*00#
 
Nilishamaliza skonga mwaka Jana nikapata division 3 but sikubalance combination
 
Umewambia wazazi wako kuhusu kipaji chako na wamekujibu vipo?
 
Back
Top Bottom