Ay ft Sean Kingston and Miss Trinity

Ay ft Sean Kingston and Miss Trinity

weka link tu download tuipime, alienda marekani akafanya upuuzi tu.
 
weka link tu download tuipime, alienda marekani akafanya upuuzi tu.

unasema unataka aweke muipime ukimaanisha hujaiona lakini papo hapo unasema amekwenda marekani kufanya upuuzi!

Mkuu data una tatizo jaribu kusoma comment yako vizuri hivi kweli kwa comment hii baadae hata ukitoa maoni yako yataeleweka?
 
Last edited by a moderator:

kuna ngoma alienda ifanya marekani ka miaka mi 3 now. Lakin ilikuwa hovyoo,

ndo tuipime na hii, uskute mtupu tu.
 
Last edited by a moderator:
nishaipata, ntatoa feeback shortly..
 
Big up AY, Ms. Triniti anachoimba kwenye kiitikio kinasikika sema huyu Sean Kingston ndio kaharibu huu wimbo, ye anapiga makelele tu yoo! yoo!
 
Ni wimbo mkali sana,, mkali kwa kweli..
 
Kama kamlipa usd 30,000 sean kingston arudi akadai change fasta kabla hajazitumia.Kawaida sana sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom