AY na Sean Kingston washusha Single mpya pamoja na Video

AY na Sean Kingston washusha Single mpya pamoja na Video

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,649
Reaction score
109,305
AY hajajaliwa domo yeye ni vitendo tu tena International.

Ingia mwenyewe kwa Mirlad Ayo dot com uone kipande cha video mpya ya AY ndani ya USA.
 
Waungwana,
Mimi naomba kuwauliza tatizo nini katiba mbovu au wabunge kukosa uchungu na taifa? Nauliza hivi kwa sababu wengi wetu tulisikitika saana EL jina lake lilipopendekezwa kuwa PM lakini kwa maajabu makubwa kwa watanzania walio wengi EL akapita kwa kishindo bungeni.
Sasa hata leo hii mkisema rais akiteu watendaji wakuu lazima wapitishwe na bunge mimi bado yatatupata haya haya ya EL.
Labda niombe tena kuuliza hizo kura za kumpitisha PM huwa za kunyoosha mkono au kura za siri?
Watanzania tuna safari ndefu mno, waliyoyafanya wabunge wa Niger kumpinga rais wao uteuzi wa PM itachukua muda mrefu kutokea Tanzania, wabunge wetu ni wanafiki wanastahiri kupigwa bakora majimboni kwao.

Miongoni mwa artist ninao wakubali sana, si longo longo
 
maendeleo km hayo ndo tunayoyataka na co mmoja ashushwe il mwngne apandshwe ki ulazma

Mtasema hadi wanaotoswa na mademu zao sisi ndio tumesababisha.

Kama unaamini kuna mtu anaweza kushusha kipaji cha mtu anza kumshusha ambaye hayuko hai kabisa Bob Marley kama utaweza.
 
Hata zamani nilikuwa na akili ndogo kama zenu, nilikuwa najiuliza sana hivi Wananjenje wanapata vipi pesa kwa kufanya show moja tu kwa wiki pale Ambasador plaza Gogo hotel?

Na msisahau AY ndio msanii wa kwanz house. a kualikwa white
 
hivi huyu jamaa hii biashara ya muziki inamlipa kweli?maana naona anatumia gharama nyingi sana kuliko akipatacho

hivi huyu jamaa hii biashara ya muziki inamlipa kweli?maana naona anatumia gharama nyingi sana kuliko akipatacho[/QUOTE
matola atakuja kujibu

Bureee.....

hamna kitu ay anaupenda mziki lakin mziki haumpendi

Haumpendi balaas analazimishaga fani

Yap anajitutumua balaaa

Wachache wamekuelewa.upo sahihi

Hata mimi zamani nilikuwa na akili ndogo kama zenu, nilikuwa najiuliza sana hivi Wananjenje wanapata vipi pesa kwa kufanya show moja tu kwa wiki pale Ambasador plaza Gogo hotel?

Na msisahau AY ndio msanii wa kwanz house. a kualikwa white
 
hivi huyu jamaa hii biashara ya muziki inamlipa kweli?maana naona anatumia gharama nyingi sana kuliko akipatacho


Ni balozi wa Samsung
Balozi wa ile program ya kilimo aliyoenda kule w.house
Alilipwa dola 80,000 aliposain kua balozi wa airtel

Hukuwahi kumuona kwenye tangazo la voda?

CEO wa Unity entertainment

Na sahizi yupo Kenya na big guns wa east Africa,project ya maana INA endelea.

Last two weeks alikua america kudiscuss dili na you tube

Kabla hajaenda huko alikua rwanda,akaenda Dubai then USA

Anaitwa #fly boy ambaye wanatembea angani zaidi kuliko ardhini
Am out
 
Ndo msanii anayependwa na wasanii wote hapa A.mashariki.
Role model wa ally kiba.

Jagual ana mkubali kuliko Maelezo!!

Msanii wa kwanza kufanya colabo na psquare

Ambwene ni ordinary talent,sio extraordinary!!

#team East Coast Army till am die!!

Kwa ambwene,nitakesha hapa na nyie
 
Nazikubali sana harakati za Ambwene, mafanikio yake yanajitangaza yenyewe hana kidomo kama hao wengine.

Kasaidia wasanii wengi wa E. Afrika akiwemo yule aliyetemwa na wema kujulikana kimataifa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom