Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Waandaji wa movie wamekamilisha na kutoa trailer ya Fast and Furious 7 ambayo itatoka April 3 2015 watch here https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Skpu5HaVkOc#t=0
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ana ngoma inaitwa 'Umebadilika' amemshirikisha banana zoro, lakini jana nimesikia ngoma nyingine inaitwa '13' alowashirikisha fid q na belle9. Kama kweli hii ngoma ni mpya, mbona interval baina...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mliovaa mlifaidi sana, na afro zenu kichwani. Watoto mtacheka na kuita kistool, ila hamjui raha yake.....
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Waungwa niko DRC kwenye jiji la Kinshasa nimefika hapa juzi,, kitu nataka kuwaambia tu kwamba Nasib Abdul aka Diamond anajulikana ,,, ikumbukwe tu kwamba Kinshasa ni tofauti na Goma ninako tokea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilitokea wakati wateja walio lipa elf kumi kiingilio na kutomwona Christian Bella ukumbini. Wateja wacharuka na kuwapiga wakongo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niko sehem nimepumzika nje ya nchi. Zinapigwa nyimbo kadhaa za Watanzania. Mara unapigwa wimbo wa Ray C mama ntilie. Wale jamaa alioimba nao kiukweli nawakubali sana lakini majina yao hajawahi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TBC wametangaza Filamu Mpya baada ya Jin Tai Lang Kuisha. Filamu hiyo inaitwa kwa Kiswahili, Maisha ya Mama. Katika Tangazo lao nimuemona Mama Shaomi, Mwalimu Hu, Bosi wake Mama Shaomi na...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
UNAAMBIWA DAVIDO ALIVUTA SHILINGI MILIONI 65 KWENYE SHOO YA FIESTA | Udaku Magazine
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yule mjanja wa Dar es salaam,namzungumzia Alli Kiba usiku wa leo anafanya onyesho kubwa hapa Mtwara katika club ya Makonde Royal...daah shangwe zimeshaanza yaani hadi raha.Karibuni.
2 Reactions
89 Replies
8K Views
Kama ulicheza gwaride, basi faidi. Pia kama unapenda gwaride au ulipita JKT na kucheza kwata......
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kipindi cha maisha na hustle za Wema Sepetu 'In My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo, na kwenye interview niliyofanya naye Wema amesema haya mapya; 1] Maboresho mengi zaidi, mwanzo...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wanadai Tanzania itatukanwa mbele ya dunia zima katika tukio litakalorushwa live,Sugu kumbana Juma Nkamia asimpe bendera ya taifa.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wasaniii wa bongofleva wanajua kuigiza kuliko wasanii wa bongo muvi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumbuka huko mkito haudownload wimbo hadi ulipie,so takwimu mpya zimetoka zinaonesha mwana ndo wimbo ulionunuliwa Mara nyingi zaidi Na kwa show ya Jana nadhani mauzo yatakua juu zaidi Ingia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hawa icon ya Bongo Fleva muda huu wako studio na tayari wameshaingiza sauti kwenye jisongi linakwenda kwa jina la Amsha amsha M4C tour 2014. Hili dude kama umekunywa maji ya bendera ya CCM...
4 Reactions
101 Replies
13K Views
Standard Chartered Marathon winner Peter Kiprotich Kosgei with his wife Florence Cheruiyot and two year old daughter Abigael Chepchumba, pose for a photograph outside their grass thatched house...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
"Wimbo mmoja kila wiki kwa wiki 10!" kupitia Mkito.com Huu ni wimbo wa pili kutoka album mpya NEW DAY kutoka kwa Angel Benard - wimbo unaitwa SHUJAA. SHUJAA. Kuna wakati katika maisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya haya haya haya wale wote tunaomzimikia huyu kijana, tusioweza kula kunywa wala kulala bila kumuongelea huyu KICHWA wa bongo fleva njooni sasaaaa@miss strong, nifah, matola, geniveros diva...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
DIAMOND ANA MAKOSA 3 MAKUBWA ALIYOTUTENDEA WATANZANIA MPAKA IKAMPELEKEA KUZOMEWA 1.Kosa la kwanza ni KUWA NA BIDII KWENYE MUZIKI WAKE.Hili ni kosa kubwa sana kwa Watanzania.Hakupaswa kuwa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom