bila kumsahau Nas B a.k.a Nas Bizness hawa jamaa wanajua..
20% Nas B na Best Naso nawakubali sana hawa jamaa. kuna wimbo unaitwa Hadija sijui kaimba Nas B au Naso naukubali sana
Kuna ngoma kaimba na mshkaji wake inaitwa Tuma. .bonge la ngoma. .labda bush face ndo inamuangusha maana jamaa amekaa kikanda ya ziwa sana usoni

sanaa ya bongo bila management inayoeleweka ni majanga