Tuzo za watu kufanyika leo, Jimmy Kabwe Kuhost

Tuzo za watu kufanyika leo, Jimmy Kabwe Kuhost

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,275
TUZO ZA WATU KUTOLEWA LEO, JIMMY KABWE KUHOST, BEN POL KUZINDUA VIDEO YAKE MPYA
Tuzo za watu za Tanzania au Tanzania People's Choice Awards zitatolewa leo kwenye ukumbi uliopo Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Jumla ya vipengele 11 vinashindaniwa na nominee watatu katika kila kimoja wameingia fainali. Mshindi katika kila kipengele atapewa zawadi ya shilingi milioni
moja pamoja na trophy. Host wa tuzo hizi ni mtangazaji mkongwe wa radio, Jimmy Kabwe. Pamoja na burudani mbalimbali zitakazokuwepo, video mpya ya Ben Pol ya wimbo wake 'Unanichora' aliomshirikisha Joh Makini itazinduliwa.

HII ORODHA YA NOMINEES WA TUZO ZA WATU WALIOINGIA FAINALI

1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
1. Millard Ayo – Clouds FM
2. Hamis Mandi aka B12 - Clouds FM
3. Maryam Kitosi – Times FM

2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA
1. XXL– Clouds FM
2. Amplifaya – Clouds FM
3. Hatua Tatu

3. MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
1. Salama Jabir – EATV
2. Sam Misago – EATV
3. Salim Kikeke – BBC Swahili

4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA
1. Friday Night Live – EATV
2. Mkasi – EATV
3. Planet Bongo – EATV

5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA
1. Juma Kaseja – Yanga
2. Mrisho Ngassa – Yanga
3. Mbwana Samatta – TP Mazembe

6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA
1. Nisher
2. Adam Juma
3. Mecky Kaloka

7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA
KIUME
1. My Number - Diamond
2. Jikubali – Ben Pol
3. Love Me - Izzo Bizness f/ Barnaba & Shaa

8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE
1. Amani ya Moyo – Feza Kessy
2. Closer – Vanessa Mdee
3. Yahaya – Lady Jaydee

09. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
1. Jacob Stephen aka JB
2. King Majuto
3. Hemedy Suleiman

10. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
1. Elizabeth ‘Lulu' Michael
2. Jacqueline Wolper
3. Wastara Juma

11. FILAMU INAYOPENDWA
1. Foolish Age
2. Shikamoo Mzee
3. Ndoa Yangu
==========================================================================================
================================================================================================

UPDATES
MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA WATU
1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
Millard Ayo – Clouds FM
Millard-Ayo-akishukuru.jpg

2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA
Amplifaya – Clouds FM

3. MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
Salim Kikeke – BBC Swahili
Mtangazaji-wa-BBC-Swahili-Salim-Kikeke-akishukuru-kwa-kushinda-tuzo-kushoto-ni-Mzee-Hamza-Kasongo.jpg

4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA
Mkasi – EATV

5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA
Juma Kaseja – Yanga

6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA
Nisher

7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA
KIUME
My Number - Diamond

8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE
Yahaya – Lady Jaydee

09. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
King Majuto
Mzee-Majuto-akifurahia-ushindi.jpg

10. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
Elizabeth ‘Lulu' Michael
JB-akimkabidhi-Lulu-tuzo-ya-muigizaji-wa-kike-wa-filamu-anayependwa.jpg

11. FILAMU INAYOPENDWA
Ndoa Yangu
 
Ngoja nifanye utabiri kidogo
1. Mtangazaji wa radio anayependwa - Millard Ayo
2. Kipindi cha redio kinachopendwa - XXL
3. Mtangazaji wa runinga anayependwa - Salama Jabir
4. Kipindi cha runinga kinachopendwa - Mkasi
 
Picha mbalimbali kutoka kwenye ukumbi ambapo #tuzozawatu zitatolewa leo usiku, Serena Hotel

b5.jpg

10492374_794938553872914_4079893218802735447_n.jpg

10329121_794938670539569_5149356456546632334_n.jpg

10487369_794938800539556_8809371368654054506_n.jpg
 
Mh ila mwanzo mgumu...

Yani fainali iko kimya kinya hivi bila promo au hakuna wadhamini wa hizi tuzo
 
Ngoja nifanye utabiri kidogo
1. Mtangazaji wa radio anayependwa - Millard Ayo
2. Kipindi cha redio kinachopendwa - XXL
3. Mtangazaji wa runinga anayependwa - Salama Jabir
4. Kipindi cha runinga kinachopendwa - Mkasi

Salim wa BBC a k a,Salym
 
Mwanzo mzuri naona wadau wameamua kukabiliana na watoto wa Mlalakua this is a good move.
 
Salim wa BBC a k a,Salym

hapa wamechemka kumuweka Salim, Milard na Salama ktk group moja ni kituko .Salama na Millard wapo kwenye entertainment industry, watangazaji wangewaweka kwenye groups, Salim angeshindana na watu kama Chals Hillary hivyi sio akina Salama.
Halafu tuzo zimekaa kisure hivi watoto wa tandard/mbagala/temeke wanamjua Vanesa na Feza !!!! naona wanaleta utani.
 
Ishu ya kisure ilishajadiliwa humu juhusu hizo tuzo wenyewe wakajibu na kuahidi mambo yatakuwa vizuri miaka ijayo
 
jumanne kabwela (jimmy kabwe )huu uzungu huu! ah ah
 
zinarushwa live online kwenye website ya bongo5 mda huu
 
Back
Top Bottom