Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,368 Nov 18, 2014 #1 Wakuu nani unamkubali?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,760 Nov 18, 2014 #2 wote wawili nawakubali
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Nov 18, 2014 #3 mtu na pesa... kijana akipokea madingi wanamwita bwana,,dingi akizipata anaonekana ni kijana..... wapi ilipo taarabu...ilikuja kwa kishindo hata wagumu walishahusudu..kwa ajili ya marumbano mwishoni ikafa kibudu.. .
mtu na pesa... kijana akipokea madingi wanamwita bwana,,dingi akizipata anaonekana ni kijana..... wapi ilipo taarabu...ilikuja kwa kishindo hata wagumu walishahusudu..kwa ajili ya marumbano mwishoni ikafa kibudu.. .
N ndutukomesha Senior Member Joined Apr 17, 2014 Posts 110 Reaction score 28 Nov 18, 2014 #4 Sugu moto chini
S Showme JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 1,257 Reaction score 505 Nov 18, 2014 #5 afande Sele
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,551 Reaction score 109,064 Nov 18, 2014 #6 Viol said: Wakuu nani unamkubali? Click to expand... Unafahamu kama Afande ni Mwanafunzi wa Sugu? Kwenye wakongwe wa hiphop bongo Sugu ni wakupimana ubavu na Profesa Jay tu.
Viol said: Wakuu nani unamkubali? Click to expand... Unafahamu kama Afande ni Mwanafunzi wa Sugu? Kwenye wakongwe wa hiphop bongo Sugu ni wakupimana ubavu na Profesa Jay tu.
Mtamile JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 2,838 Reaction score 1,274 Nov 18, 2014 #7 Sijajua unataka tutumie vigezo gani kuwalinganisha ungekuwa umeweka vigezo kwanza ila unatakiwa tu uelewe Sugu ndio kamtoa Afande
Sijajua unataka tutumie vigezo gani kuwalinganisha ungekuwa umeweka vigezo kwanza ila unatakiwa tu uelewe Sugu ndio kamtoa Afande
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Nov 19, 2014 #8 Matola said: Unafahamu kama Afande ni Mwanafunzi wa Sugu? Kwenye wakongwe wa hiphop bongo Sugu ni wakupimana ubavu na Profesa Jay tu. Click to expand... Mkuu kiuhalisia Sugu sio wa kupimwa ubavu na Prof.Jay,.' Ila kuna kpnd mwaka 2001 clouds baada ya kuznguana na sugu wakawa wanamtumia Jay kama mrthi wake hapo ndo watu mkanza kumpma jay kweny levo za sugu..
Matola said: Unafahamu kama Afande ni Mwanafunzi wa Sugu? Kwenye wakongwe wa hiphop bongo Sugu ni wakupimana ubavu na Profesa Jay tu. Click to expand... Mkuu kiuhalisia Sugu sio wa kupimwa ubavu na Prof.Jay,.' Ila kuna kpnd mwaka 2001 clouds baada ya kuznguana na sugu wakawa wanamtumia Jay kama mrthi wake hapo ndo watu mkanza kumpma jay kweny levo za sugu..