Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wapendwa nina shida na namba za Producer wa Music niko m/s kilimanjaro
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Tribeka CBD.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu huwa napenda sana movie inazozungumzia true stories kwasababu huwa zinanifunza na kunihabarish amatukio mengi sana humu ulimwenguni baadhi ya movies ni:- 1.ZERO DARK30 2.HOTEL RWANDA...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari zenu wadau? Naomba mwenye Audio ya huu wimbo anisaidie,nina shida nao sana,najua hapa jamvini ndo mwisho wa kila kitu,shukrani. Lyrics zake ni hizi: Daz Nundaz - Nitafanya Nini...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Jaman mwenye kuujua huo wi.bo na anao naomba ani PM nimrushie namba yangu anitumie watsupp nautafuta sna na sijui umeibwa na kwaya gani Aksanten
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Leo hii nguli huyu wa filamu za kuchekesha anatimizamiaka 59 ya kuzaliwa. Ingawa amecheza filamu nyingi lakini ukweli ni kwambawengi hapa nchini walimjua kupitia filamu Sarafina aliyoicheza mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hawasikiki kabisa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nani kamfunika mwenzake kwenye video ya "NEW FLAME" Kati ya Chris Brown na Usher Rymond? Kuimba pamoja na kucheza.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sugarhill Gang was one of the pioneer rapping act and their hit single, Rapper's Delight was the first commercial rap song in the world. That is right! I remember where I was back in 1979 when I...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukumbushane wasanii wakongwe wa muziki wa kizazi kipya (bongofleva) na nyimbo zilizowatoa, i mean nyimbo zilizofanya watanzania wengi kuwajua. NB: Wasanii wakongwe namaanisha wa miaka ya 90...
0 Reactions
1 Replies
19K Views
Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika hewani kwa majaribio kwa mara ya kwanza. Redio hii...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Wadau naomba please mwenye wimbo wa MASELE chapombe wenye jina UZA NYUMBA WEKA HESHIMA BAA. Please mwenye nao naomba aniatach hapa either audio au video. Asante kwa msaada
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Huwa sielewi kuna nini kwenye music industry ya Bongo as regards to Hip-Hop. Kwanini media inawabania sana promo maemcee wanaofanya hip hop ya ukweli???!! mfano.. jamii kubwa inafahamu zaidi uwepo...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi vikundi sijui kama vipo now,ila kundi gani ilikuwa noma na ilikuvutia kwa mziki
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Bandugu,,nani kaimba huo wimbo wenye chorus inaimbwa ,,,basoba dugu dugu,,,,,,,,,ni wa kikongo.,,msaaada plz
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni series zinazohusu uhusiano tata wa familia maarufu mji wa Florence ya Medici, Da Vinci na Pope wa Vatican. Ina base kwenye true history ikiwa imejaa ihalisia na kusisimua. Hii si ya kukosa !
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Wadau wa music wote, mimi huwa napenda kufuatilia vitu kama hivi sana. Hapa nilipo sina TV kwa hiyo ninajaribu kuangalia online stream live. Lakini sijui link niliyoipata ntaenda nayo mpaka wapi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nyimbo na mashairi yana nafasi kubwa sana katika kulikomboa taifa letu, cha kushagaza wasanii wetu wakisasa wamekuwa wakisifu na kuongelea ngono na pombe wamesahau taifa hili linahitaji...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya kipindi cha asubuhi cha power breakfast, jamaa akapiga wimbo wa ben pol jikubali. Ilpofikia anapoimba Lady Jay Dee iliminywa hata huwezi kuelewa kwa mgeni wa huu wimbo. Nawauliza clouds...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari za jioni watanzania wenzangu, kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana, maneno mengi yasio na tija juu ya hili taji la umiss tanzania 2014,,,mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru...
2 Reactions
102 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…