Hii Miss World ina top-ten za aina ngapi?

Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,130
823
Ndugu WanaJF,

Siku chache zilizopita mashindano ya Miss World yamefikia kikomo huko London, UK, na kushuhudia mlimbwende kutoka nchi ya Afrika ya Kusini akinyanyua taji hilo. Lakini kabla ya hapo kulikuwa na meseji zikizunguka hapa Bongo (kupitia mitandao ya kijamii) kuwa mlimbwende kutoka Tanzania ameingia kumi bora, na kuwaomba Watanzania wampigie kura zaidi ili aweze kushinda. Mimi nilidhani kwa kuwa yupo hiyo kumi bora basi hata kama asingepata hata kura moja nafasi ya kumi (at worse) ingekuwa yake. Sasa naona katika list ya walimbwende kumi wa mwanzo bidada toka Tanzania hayupo. Sasa najiuliza; (1) Kuna top-ten za aina ngapi huko Miss World? (Maana haya mashindano nayo huwa yana sarakasi nyingi ati). (2) Je, hii meseji ilikuwa na maana gani?


Miss World 2014 Winner Is Miss South Africa, Rolene Strauss—See Photos and Find Out Who Else Make the Top 10! | E! Online
 
Hata mimi nimeshangaa kwa kweli.

Wataalam wa mambo ya Ulimbwende tunawaomba mje kututatulia kitendawili hiki
 
aliingia top ten katika kipengele cha people's choice na mshindi wa hiyo tuzo (people's choice) alikua miss Thailand ambaye alipata chance ya kuingia had top ten (semi finals) ndo maana akawa wa 11 na ingetokea akawa Kati ya Wale top ten bas asingekuwepo Huyo wa 11


nadhan nimeeleweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom