alishhinda kitambo sema imefika hivi karibuni ndomana kaonesha...ni tangu October 4Akiwa nchini Uganda, amechaguliwa kuwa best African entertainer kwenye tuzo za IRAMWA zilizofanyika nchini marekani. Congratulation kwake kwa kuitangaza nchi.
source: Instagram
alishhinda kitambo sema imefika hivi karibuni ndomana kaonesha...ni tangu October 4
IRAWMA 2014 Winners | Caribbean Riddims
notable artists : Chris Brown " loyal " - Best R&B Hip Hop EntertainerHii tuzo ndiyo naisikia leo..
Au imeanzishwa maalum kwa ajili ya Domondi?