Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,939
- 4,705
hizi njia za kuvote ndo zenyewe kweli isije ikawa kama ile link fake aliyoletaga diamond kwa B.E.T awards
kale kabinti nimekaelewa sanaa
Nasikia wana App yao kabisa ya Miss World so nadhani ni yenyewe mkuu
app yao nishapiga kura sana,ukipiga kura unaweza ku-uninstall appy ili install tena urudie kupiga kura
Gisb anakutafuta
Aisee mkuu kanavutia sana. Ana sura nzuri
duh jina geni hilo kwangu mbona!
Endelee kupiga amedrop hadi 25 tena! nimegundua kuna watu wanafanya makosa kwenye kupiga kura! Maana hutakiwi kuchagua wale wenye namba pembeni ili kumhakikishia ushindi yeye pekee ndio anatakiwa kuwa na namba kati ya watatu! Sijui kama hili wapiga kura wanalijua!
Ni black cute yuko vizuri upstairs natamani afike mbali zaidi ya hapo
Sijalimalizia lote thought u would capture the full name
ni-pm basi ni nani maana hata hiyo abbrv.i have no idea,sipati picha