Tanzania to Lagos

Tanzania to Lagos

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,081
Reaction score
1,888
Davido ni mtu mwenye dharau sana!, hivi anatuchukuliaje sisi watanzania!?, yaani hiki kipande katlka wimbo wa my number one sikipendi,ni heri wangekifuta tu.
 
wewe ndo uelewa wako mdogo., na akili yako bado kidogo ikatikiemo.
 
Davido ni mtu mwenye dharau sana!, hivi anatuchukuliaje sisi watanzania!?, yaani hiki kipande katlka wimbo wa my number one sikipendi,ni heri wangekifuta tu.

from tanzania to lagos i will make u famous anaezungumziwa pale ni dem sio diamonda,ndio maana kina mashairi yanaofuata kama everything u want is ok tupigwe na ubaridi kidogo tupate na ugali wa muhogo
 
mmmmhhhh haya hongera ushaanzisha uzi na wewe na tumechangia
 
Ulikuwa wapi siku zote au ndio nyie wazee wa opportunity???
 
Back
Top Bottom