NATAFUTA NYIMBO HIZI ZA OSS Duku Duku

NATAFUTA NYIMBO HIZI ZA OSS Duku Duku

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
960
Kwa vijana wa zamani. Nazitafuta nyimbo hizi za bendi ya Orchestra Safari Sound enzi za Ndala Kasheba.

1. Mwanakwetu
2. Nifanye nini dunia hii
3. Bakambi Nkela
4. Kupenda ni upofu

Tafadhali kwa aliye nazo Tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom