Tanganyika50
Member
- Dec 8, 2011
- 97
- 19
Wanajamvi,
Kuna huu wimbo unaitwa nadhani "Laiti Moyo".Sina hakika umepigwa na bendi gani ila nadhani ni Bima Lee na sehemu ya maneno yake yako kama hivi"Laiti moyo ungekuwa ooh,nakifuniko radhi kukwambiaa,fungua uone unavyokereketa mamaa...lakini sasa imekuwa buree....nabaki nauguza vidonda vya moyoni eee eee!"
Anayefahamu bendi iliyo upiga wimbo huu au mwenye nao tafadhali naomba anitumie kupitia jamvi hili maridhawa.
Natanguliza shukrani!

Laiti moyo ungekuwa aaa
Una kifuniko radhi nikuambie eee
Tizama uone unavyokereketa mama aa