Nitakupwelepweta

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,998
14,071
aaaaah!hawa vijana wanastahili pongezi japo sijui hiyo maana ya 'nitakupwelepweta'

...una sifa ya kuogopwa kama defender
...sitaki nizikwe na kilo mbili kwenye mfuko
...sitaki familia ilie kwa sababu yako
...ananitegemea mama...nikifa atalia sana
...katika familia nami ni baba...japo baba yupo


...kuku wa kizungu mchinjaji hana tabu
...hebu niache...unapita na dumu la petrol

...una rambo?...mi nina mua
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom