Habari ya mujini ni kwenda kupiga kura.....Uchaguzi wa Serikali za Mitaa....hayo mengine baadae.....
Mungu ni mkubwa siku zote, Ni baada ya kumtoa Miss Mchakachuaji na kutuonesha Miss anayestahili
wekeni hiyo link ya kupiga kura si kila mtu anaifahamu
Live Streaming link MissWorld hii hapa
https://www.youtube.com/watch?v=FGCvpCuaWRA&feature=youtu.be