Naomba Msaada: Nyimbo hizi

Naomba Msaada: Nyimbo hizi

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
Bandugu,

Naomba kwa mwenye nyimbo zifuatazo anisaidie namna ya kuzipata (preferably online maana ukiniambia niende Mtaa wa Kongo ama Buguruni sitaweza maana nipo ughaibuni):

  • Sanza Misato (Shaba Kahamba/Tabu Ley & Les Afrisa International)
  • Maneno ya watu (Wengine Huuita "Watu Wanasema") Chidumule/Mlimani Park Ochestra

  • Usitumie Pesa Kama Fimbo - Chidumule/Mlimani Park

  • Kata ya Maji Ukweni - Ochestra Safari Sound
  • Haruna - King Kiki/Ochestra Safari Sound

Natanguliza shukurani
 
Ninayo cd mp3 ya zilipendwa niliipata nilipoenda bongo ila shida ni namna ya kuiingiza mtandaoni, nimejaribu kuattach imeshindikana ngoja asubuhi wataalamu wanipe namna ila kama unaweza nipe maelezo namna ya kuiattach!
 
Ngoja tusubiri wataalam - mie nipo technologically challenged.
 
Ngoja tusubiri wataalam - mie nipo technologically challenged.

Ulifanikiwa kuzipata nyimbo nyimbo 2 -Kata ya Maji Ukweni - Ochestra Safari Sound na Haruna - King Kiki/Ochestra Safari Sound?

Kama ulifanikiwa, naomba unipatie.

genekai
 
Back
Top Bottom