Kuna mahusiano gani kati ya umbea na Instagram?

Kuna mahusiano gani kati ya umbea na Instagram?

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,669
Naona sikuhizi umbea hasa unaohusu celebrities umehamia huko, Facebook na Twitter zimetelekezwa, show game zote ziko huko, mara sijui team wema,team kiba,team lemutuz(lol) etc zoote zipo huko, in short umbea wote wa mjini upo huko, kama unapenda umbea halafu haupo huko basi unapitwa na mengi. Why Insta imepanda chat hivo kwa wabongo?
 
tena unaupata ukiwa wa motooooo! kabla haujaja jf.
Ni burudani tu
 
siwez jiunga huko, hiyo whatsapp yenyewe mara mojamoja sana
 
watu hadi wanafanya vibiashara ha ha ha et unatuma buku unafundishwa sijui vinini sijui vistaili vya chumbani pyeeee
 
watu hadi wanafanya vibiashara ha ha ha et unatuma buku unafundishwa sijui vinini sijui vistaili vya chumbani pyeeee

Mie nilichoka!! Nikajua bure et hadi utume1000 ya kiingilio
halafu yupo proffesional kungwidadas huyu ndo nomaa!!!! elfu3 kwa kila mada na kwasiku kunawezakuwa na mada hata3
 
Last edited by a moderator:
Mie nilichoka!! Nikajua bure et hadi utume1000 ya kiingilio
halafu yupo proffesional kungwidadas huyu ndo nomaa!!!! elfu3 kwa kila mada na kwasiku kunawezakuwa na mada hata3

mie bado sanaaa hata akisema sh 200 sitoi...ha ha ha kwa kipya kipi et mara anafundisha jinsi ya kunyonya dushe wizi mtupu
 
Last edited by a moderator:
Hii niliiona nikacheka sana nikasema mjini shule.
 
Mie nilichoka!! Nikajua bure et hadi utume1000 ya kiingilio
halafu yupo proffesional kungwidadas huyu ndo nomaa!!!! elfu3 kwa kila mada na kwasiku kunawezakuwa na mada hata3
Na pipo zinatoa vizuri tu yan yule anajilia kilainiiiiiii kbs
 
Last edited by a moderator:
Mie nilichoka!! Nikajua bure et hadi utume1000 ya kiingilio
halafu yupo proffesional kungwidadas huyu ndo nomaa!!!! elfu3 kwa kila mada na kwasiku kunawezakuwa na mada hata3

Kwanza huyo mdada mwenyewe anayetoa hayo mafunzo aliachika ndoani.
Na mpaka sasa hajaolewa....yaani ushuzi mtupu.
Sijui jinsi ya kunyonya koni, sijui jinsi ya kunyoa vuzi sijui....nini na nini, atawapata wajinga wenzie....
Mtoto mwenyewe aliyezaliwa leo anajua kunyoa vuzi....asitutanie hapa.
Wanaume wenyewe wa leo....hata umnyonye kende kama NO.....NO!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom