Yuko wapi yule Mkali wa Rhymes

Yuko wapi yule Mkali wa Rhymes

mr brocken

Senior Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
166
Reaction score
48
mimi ni mmoja kati ya mashabiki wa Afande selle, huwa nakunwa sana na mashahiri ya huyu jamaa ktk tungo zake, pia leo nimemkumbuka kwa vile kuna jamaa yangu kanisimulia story moja inayofanana na kati ya wimbo mmoja wa Afande selle, ni ile story ya kukataliwa na mama yake Mzazi pasipo na sababu. sasa napenda kujua ivi ile story ya Afande selle ilikuwa ni ya kweli! na kama ya kweli iliisha wapi? na huyo mama ameendelea kukomaa mpaka leo,?
kumbe c wamama wote ni wazuri kwetu eh!
 
Mbona title na content haviendani... selle yupo moro analima na kuvuta bangi
 
Nenda kamuulizie kwenye chama chake cha wasaliti act
 
toka ahamie ACT kapoteza heshima kwangu maana kanunuliwa na Yuda Zitto
 
Back
Top Bottom