Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Eti kati ya Ally Kiba & Diamond yupi bado ni mkali...?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ile show inayosubiriwa kwa na kuongelewa kila kona ya jiji la Dar es Salaam ya Diamond na Zari pale Mlimani city siku ya May mosi kiingilio cha juu ni shiling million 3 za kitanzania na cha chini...
7 Reactions
246 Replies
37K Views
Good Music Never Die
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Wamewasili jijini Las Vegas litakapofanyika hilo pambano.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja na wadau wengine wote naomba mnisaidie kuchambua maana halisi au nini ilikuwa nia ya mtunzi mahiri wa nyimbo za taarab nchini Mzee Yusuph katika wimbo wake mpya usemao " Ikisimama panda "...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tazama Video ya Sophia ya Ben Pol Hapa/ Watch Ben Pol - Sophia ( Official Video ) on YouTube www.youtu.be/81i3dybXK8U Nilichopenda humu ni kuwepo kwa video queen mwenye albinism
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda My sisters keeper(my sadiest movie ever) John Q(a poorest man struggle to...
2 Reactions
515 Replies
73K Views
Niaje wana JF, Mwana wenu karudi tena. Kama ilivokua kwa wimbo wa Mwana, JF ndo ilikua ya kwanza kuupata kupitia mimi basi nimeona nisiwe mchoyo niwape tena huu wa Chekecha Cheketua...
5 Reactions
305 Replies
57K Views
Habarini.wadau naomba msaada nawezaje ku download Nigerian movies ambazo ni latest nimejaribu kutumia you tube ku download lkn zinakuwa hazipo in format nzuri kwa mfano kipande cha party one...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu ni mtangazaji wa zamadamu na nyimbo za dini lkn huwa anakera sana,kujichekesha chekesha hovyo,na kujipigia makofi sijui kama yuko vizuri upstairs,Hovyo sana,
2 Reactions
28 Replies
6K Views
50,000 Tshs, 100,000 Tshs VIP 1,000,000 Tshs VIP table plus 4 tickets & drinks coupon, 3,000,000 Tshs VVIP table plus 8 tickets & one million drinks coupon Kwa viingilio hivi zomeazomea sijui...
6 Reactions
111 Replies
19K Views
Dear Friends in Arusha Jinsi kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji mkubwa kwa muda wako wa ziada. Tar 1. Mei Mosi, tunawakaribisha kwenye oriflame mega event itakayofanyika New Safari Hotel...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
muziki wa bongo fleva ndio kwa asilimia kubwa unaua vipaji vya mamilioni ya wanafunzi nchini kupata elimu.siku hizi kila mwanafunzi awe wa primary,sekondari, wanafeli mitihani au wanashindwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa hii series nilisikia mwezi wa 4 ndio inatoka mbona sasa mwezi unakata tu hakuna kitu? Nani anayo kama ishatoka?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni moja ya Best Opera/Tv Drama ambazo nmewah kuziona ukiziweka na desperate house wives, devious maids n.k nimefanikiwa kuina season one mpaka episode ya 26 nyingnine nimezisaka sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iliripotiwa kuwa Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni ililikabidhi suala la utata wa Miss Tanzania 2014 kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili kufanyiwa uchunguzi. Pia ilidaiwa kuwa BASATA...
3 Reactions
112 Replies
10K Views
wadau kwa waelewa wa studio za kurekodi nyimbo za injili yenye viwango vya hali ya juu mnisaidie kuijua na bei zake ikiwezekana. ...shukrani kwa msaada na ushauri wenu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Bila kuweka mbwembwe ambazo mara nyingi huharibu muziki badala ya kuboresha,ningependa watu kama Twanga pepeta na albamu zao kama Kisa cha mpemba,Ukubwa jiwe nk zirekodiwe upya maana ni nyimbo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
​for me these are the best of the best;they are not classics per-se its a mixture of CLASSICS,JAZZ,BLUES AND ROCK AND ROLL .kwa wale wadau endelea kutupia nyingine what a wonderful...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…