Mbona wacheza mieleka hawatoki damu?

Mbona wacheza mieleka hawatoki damu?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Kwa wale wapenzi wa mieleka kama WWC, WWA. Ambapo kuna wapiganaji kama John Seaner, Hulk Hogan, TRIPLE H. na wengineo.

Swali; Hivi kwanini hawa jamaa licha ya kupeana vipigo vya mbwa mwizi lakini hawatokagi damu? Jamani wataalam wa mieleka watujuze hapa..
 
nawewe lini utatoa majibu? kilasiku maswali tu. Vp nilisikia umeolewa na Alikiba, ndoa yenu inaendeleaje dada?
 
JOHN SEANER==> JOHN CENA
HALKHOGAN==> HULK HOGAN

Hivi we wa wapi?
 
kwa wale wapenzi wa mieleka kama WWC,WWA.ambapo kuna wapiganaji kama john seaner,halkhogan,TRIPLE H.na wengineo. swali hivi kwa nini hawa jamaa licha ya kupeana vipigo vya mbwa mwizi lakini hawatokagi damu? jamani wataalam wa mieleka watujuze hapa

Huwa wanaigiza tuu vile vitu....sio kweli unavyoonaga
 
kwa wale wapenzi wa mieleka kama WWC,WWA.ambapo kuna wapiganaji kama john seaner,halkhogan,TRIPLE H.na wengineo. swali hivi kwa nini hawa jamaa licha ya kupeana vipigo vya mbwa mwizi lakini hawatokagi damu? jamani wataalam wa mieleka watujuze hapa
images
images
images
images
 
Kuna mtu aliwahi niambia kuwa ni illusions tu, thats why wanakuambia "dont try this at home", hakuna uhalisia pale
 
km uliangalia wrestlemania ya 31 mwisho wa mwezi wa tatu Brock lesner alibamizwa kwenye kingo ya ulingo na Roman reigns na damu zilitoka kwenye paji la uso..sasa sijui unataka damu za wapi zitoke ndo uite damu
 
tatizo la maneno ya mtaani haya..mkiambiwa mfuatilie kwa kusoma hamtaki..sasa hii hata ukiserach google tu utapata kila kitu..kwenye tv wanaonyesha wazi na pia wanasema wazi kuwa pamoja na mazoezi mengi wanayofanya wale wacheza mieleka bado ni binadamu wa kawaida na sio invisible so nao wanapata maumivu na majeraha kama kawaida pale mambo yanapokwenda kombo..ila watz kwa ubishi wa mtaani sasa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom