Most viewed Youtube videos by Tanzanian artist

esc343

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
354
580
Below is a list of the 10 most viewed music videos by Bongo Flava artists
1. Number one(remix)- Diamond ~ 8,776,520
2. Number one- Diamond ~ 4,384,532
3. Ntampata wapi- Diamond ~ 4,072,701
4. Mdogo mdogo- Diamond ~ 3,660,493
5. Leka dutigite- kigoma all stars~ 2,494,719
6. Nasema nawe- Diamond ~ 2,146,132
7. Mwana - Alikiba ~ 1,908,359
8. Usinisemee - Alikiba ~ 1,882,658
9. Nalia kwa furaha - kylin ~ 1,703,321
10.Mama ntilie- AT/Ray C ~ 1,406,486

Nawasilisha wanajamvi.

Source ni youtube
 
Below is a list of the 10 most viewed music videos by bongo flavour's artist
1. Number one(remix)- Diamond ~ 8,776,520
2. Number one- Diamond ~ 4,384,532
3. Ntampata wapi- Diamond ~ 4,072,701
4. Mdogo mdogo- Diamond ~ 3,660,493
5. Leka dutigite- kigoma all stars~ 2,494,719
6. Nasema nawe- Diamond ~ 2,146,132
7. Mwana - Alikiba ~ 1,908,359
8. Usinisemee - Alikiba ~ 1,882,658
9. Nalia kwa furaha - kylin ~ 1,703,321
10.Mama ntilie- AT/Ray C ~ 1,406,486

Nawasilisha wanajamvi
Source ni youtube

Lady Jay Dee yuko wapi au Clouds Media wameleta fitina na huku??!!
 
Below is a list of the 10 most viewed music videos by Bongo Flava artists
1. Number one(remix)- Diamond ~ 8,776,520
2. Number one- Diamond ~ 4,384,532
3. Ntampata wapi- Diamond ~ 4,072,701
4. Mdogo mdogo- Diamond ~ 3,660,493
5. Leka dutigite- kigoma all stars~ 2,494,719
6. Nasema nawe- Diamond ~ 2,146,132
7. Mwana - Alikiba ~ 1,908,359
8. Usinisemee - Alikiba ~ 1,882,658
9. Nalia kwa furaha - kylin ~ 1,703,321
10.Mama ntilie- AT/Ray C ~ 1,406,486

Nawasilisha wanajamvi.

Source ni youtube

Shaa - sugua gaga ina ongeza, ina views 18m mkuu https://m.youtube.com/watch?v=tm-2cATEDfc
 
The bad thing ni kuwa Mwana ya Alikiba ilitoka mapema kabla ya Nasema nawe but nasema nawe ya Diamond ina viewea 2,494,719 wakati mwana ina 1,908,359

Pia mwana ya alikiba ilipishana mwezi tu mmoja na ntampata wapi, but ntampata wapi in viewers 4,072,701 karibu mara 3 ya mwana

Then kila siku tunakesha hapa watu wanashindanisha et Diamond na Alikiba.Really?

#saynotounfaircompetition
 
Sugua gaga official ina viewers kama laki 9 na kitu tu
Hii video yenye viewers 18m imewekwa naSeka Moke maarufu sana kwa kupost vitu mbalimbali kuhusu Africa divas ndio manaa imepata viwers wengi hivyo, na wengi mi kutoka nje ya Tanzania kulinga na topic na dhumuni la Seka Moke

Haijalishi, mpeni tu Shaa no1 msimbanie
 
Watu wanashindanisha Diamond na Ali kiba lakini sidhani kama wanajua wanachowashindania ni kipi.
 
Sugua gaga official ina viewers kama laki 9 na kitu tu
Hii video yenye viewers 18m imewekwa naSeka Moke maarufu sana kwa kupost vitu mbalimbali kuhusu Africa divas ndio manaa imepata viwers wengi hivyo, na wengi mi kutoka nje ya Tanzania kulinga na topic na dhumuni la Seka Moke

Mkuu hata kama imewekwa na seka moke, kwakuwa nyimbobji ya shaa mpeni tu hyo 1. Yake, au we unasemaje?
 
Mkuu hata kama imewekwa na seka moke, kwakuwa nyimbobji ya shaa mpeni tu hyo 1. Yake, au we unasemaje?

Hiyo sio official release toka kwa akaunt ya msanii binafsi. Acheni kupotosha. Kwenye akaunt official ya shaa hiyo video haijafika viewers 1M
 
Hiyo sio official release toka kwa akaunt ya msanii binafsi. Acheni kupotosha. Kwenye akaunt official ya shaa hiyo video haijafika viewers 1M

Sikia wewe, mie ninapotaka kuchek video fulan siendibti kwa muhusika, ninachofanya nikuandika video ninayohitaji then nachagua niipendayo ktk hizo zilizoletwa, sijal km hii ni official account ya mtu fulan wala bla bla gan, just nmepata ninachohtaji, unataka kunibia ukiandika sugua gaga ikitokea vdeo Ambayo haiko ktk akaunt ya msanii huangalii? Wewe ndio unapotosha watu,mie sijal hayo as long as sihathiriki chochote kwa kufanya hvyo... Sawa mkuu
 
Shaaa_Sugua gaga
INA 16m

Sio kweli, sugua gaga imeangaliwa na watu 923,265. Kitu nimeshangaa jinsi diamond alivyo dominate kuanzia namba 1-5,lakini bado kuna watu wanataka kutuaminisha ally kiba ndo mkali. Facts zinaongea hapa. Acheni upambe wa kijinga!
 
Back
Top Bottom