Maskini Mzee Majuto!

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,450
12,317
Daah! Pamoja na Mzee Majuto kutumia muda wake kuipamba Instagram Party, kumbe mzee wa watu mwisho wa siku katoswa hajapewa hata mia, kuanzia hotel, chakula mpaka usafiri katumia hela yake mfukoni..

Ikumbukwe kua mzee Majuto alipewa mchongo na Wema Sepetu na Wema mwenyewe kakiri kumuunganisha king Majuto na waandaaji wa hiyo party..

Pole sana mzee wetu, jifunze kutokana na makosa!
 

Attachments

  • 1433330707562.jpg
    1433330707562.jpg
    77.5 KB · Views: 3,042
  • 1433330730350.jpg
    1433330730350.jpg
    75.5 KB · Views: 3,988
Sasa alifungaje safari kutoka Tanga mpaka huko kwenye party bila kujua terms za mkataba na kupewa angalau sehemu ya malipo? kwani wasanii wanafanyaje kazi zao au mimi ndo sielwei.
 
Mzee bado anafanya kazi kianalogy, ilitakiwa apewe advance kwanza kabla ya kwenda
 
+Mzee siku nyingine saini kwanza mikataba ikiwezekana tafuta mwanasheria wako au menejimenti ambayo itakua inasimamia mikataba yako acha kufanya kazi kizamani!
 
Hahahahaaa! Ila jamaa Wa IG party wasanii Sana, wanamuoneaa Mzee majuto, ila nayeyee limemkutaa juzi Kati kawazingua jamaa wa waruanda walikua wanataka wakapige nae show akachomoa na pesa katia mfukonii, kaulizwaa anajibu kwa jeuri

What goes around comes around hahahaa majutoo weweee twende DIGITAL
 
Siamini kama Fred anaweza fanya huu uhuni.Bila shaka kutakuwa na mlolongo uliochelewesha malipo yake na bahati mbaya ikakutana na alarm system ilochajiwa asubuhi ndo maana kelele zimeanza mapemaaa!
 
Babu wenzako tumehamia digital we bado uko enzinza nyerere za kiaminiana? freconic ideas I said geraaaaaourrr of hiaaarrr damn shiiiir

Siku izi una bifu na mimi nini binamu? Naona unanikwepa kama ukoma mbea mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Hiyo party wote wamekula za uso... Wema anaona aibu kusema ata yeye kafanya bure.

Yeye si ana nyota angejaza bas maana ni aibu tupu.
 
Tangu sharo milionea afariki basi huyu mzee amekosa kabisa management nzuri,nampenda sana mzee majuto na wala hastahili kufanyiwa hivi.
Duniani tunapita tu yanini kudhulumiana jamani?.
 
Sikila shughuli msanii anafit, Mzee wangu majuto hivi kweli umetoka Tanga unaaga mkeo na watoto waenda Dar kwenye instar party? Hebu jiulize mara mbili, jitathmini upya kama ulistahili kuwepo kwa nafasi yako na umri wako, mambo mengine waachieni kina lee mutuz
 
Sikila shughuli msanii anafit, Mzee wangu majuto hivi kweli umetoka Tanga unaaga mkeo na watoto waenda Dar kwenye instar party? Hebu jiulize mara mbili, jitathmini upya kama ulistahili kuwepo kwa nafasi yako na umri wako, mambo mengine waachieni kina lee mutuz

Le mutuz ni mkubwa kushinda mzee majuto basi tu akili ya le mkunduz ipo ushuzini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom