"Again n again" - Ni mtazamo tu!
Laiti kama ningelikuwa FID Q Mwana Hiphop mkali Bongo;
- Ningepiga collabo na Fat Joe faster pale tu nilipokutana nae na kuonesha kukikubali kipaji changu.
- Ningekubari binadamu amle simba kwa kutoa milioni zaidi ya 40 kwa ajiri ya video zangu na sio kua na plan za kutengeneza picha la kizombi Hollywood.
- Ningemshukuru Mungu sana kwa uwezo wangu wa kuandika na kuongea kwa kujiamini.
- Ningefanya mziki wenye ladha na mafunzo na sio mafunzo peke yake.
- Nisingetangaza kufanya mziki live bali ningefanya kama suprise.
- Ningefungua/imarisha biashara zangu mbalimbali na nisingetegemea pesa za mziki pekee.
- Ningegombea ubunge 2020 kwa ajili tu ya kuwapa ukombozi wasanii.
- Kwa kuwa mimi ni mkubwa sasa ningewashauri wadogo zangu wanaoacha shule ili wafanye mziki warudi shule maana itawacost.
At the end, Ningewashukuru mashabiki walionipa support toka Bongo.com 2 Bongo Hiphop na ningewaomba wanipigie kura KTMA
Kesho; Ney wa Mitego