Tujadili sababu za kuchuja kwa Video 2 za Diamond

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,050
Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na Iyanya.

Swali, hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi? Je tumlahum nani wakuu au ndio kusema siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza?

Karibuni kwa mjadala.
 
Huo utafiti umetumia sample gani?....mbona mi nazipenda?

Karibuni kwa mjadala.

Umetumia sample gani?
 
Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na Iyanya.

Swali, hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi? Je tumlahum nani wakuu au ndio kusema siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza?

Karibuni kwa mjadala.
Nakupenda ni wimbo wa Iyanya na yeye ndo kaamua kuitoa kwa sasa.Anyways mbona umekuja kuzipigia "promo" wakati zimechuja na watu #TeamKingKiba tumezisahau kumbe wewe mwenzetu zimekukaa kooni.Acha tulie tu na maumivu maana fedha aliyochukua Godfather kwa Mwana haijarudi na hatuna uhakika wa kurudi huko mara hata 3 mfululizo wakati mama mwenye nyumba anadai KODI.....
 
Mkuu hujui kuwa wimbo wa Mwana mpaka dakika hii ndiyo unaongoza kwa kura kama video bora ya mwaka kwenye tuzo za Kilimanjaro?
 
Huyu jamaa kama ni wa kiume basi ni hasara tupu, lazima sio mzima. Nimemuona siku nyingi ana wivu ata mwanamke hafikii.

Lugha za kejeli hazijengi mkuu, naomba ustick kwenye hoja.
 
wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, jirani yetu katoa video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "nana" alofanya na mr.flavour, pia na ile aliyofanya na iyanya.

Swali, hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi? Je tumlahum nani wakuu au ndio kusema siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza?

Karibuni kwa mjadala.

jaribu kuangalia unachozungumza, yani video zimetoka hata mwezi hazijamaliza unasema watanzania wamezipuuza? Kwa research ipi ulioifanya ukagundua hilo?
 
Mkuu kwa kuchuja ni lazima mwezi uishe? Hebu jiulize kama kuna mtu anajisumbua sahiv na hizo video
 
Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na Iyanya.

Swali, hivi ni kwanini watz wameamua kuzipuuza hizo video zote 2 ambazo zimetumia mamilion ya shilingi? Je tumlahum nani wakuu au ndio kusema siku ya kuanguka nyani miti yote huteleza?

Karibuni kwa mjadala.

Labda hizo nyimbo zimechuja huko nyumbani kwenu,ila huku kwetu bado zinakimbiza mbaya na ndio kwanza zinaanza kudownloadiwa na kupigwa sehemu mbalimbali.
 
Acha wivu wa kidada, vijana wetu wanaangaika kwa juhudi kubwa kusaka mafanikio. Wakiyapata nyie wapuuzi kazi kutafuta namna ya kuwakatisha tamaa.

Mkuu lengo langu si kukatisha tamaa, kwani nataka tuujenge mziki wetu.
 
mkuu kwa kuchuja ni lazima mwezi uishe? Hebu jiulize kama kuna mtu anajisumbua sahiv na hizo video

we nyimbo zina siku tatu, unasema watanzania wamezichoka, kwa utafiti upi?sample yako uliyotumia ni ipi? Labda kama sample ni wewe na jirani zako
 
Labda hizo nyimbo zimechuja huko nyumbani kwenu,ila huku kwetu bado zinakimbiza mbaya na ndio kwanza zinaanza kudownloadiwa na kupigwa sehemu mbalimbali.

Mkuu Samrat wewe at least ndio imejibu hoja maana huu ni mjadala wa wazi.

Back to topic, heri huko kwenu, ila huku kwetu wananchi hawataki kabisa hata kuziona hizo video, wengi wanasubiria kwa shahuku kubwa Video ya chekecha kutoka kwa King.
 
Last edited by a moderator:
Chuki binafsi,umejuaje kama watu wamezipuuza ,kama ni maoni binafsi its ok,east anda central afrika and west africa,kote imezinduliwa,.umetumia vigezo gani kujua imechuja?kwa siku tatu tu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom