Ladbrokes.com

Ladbrokes.com

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Wana Jf

Sasa hivi nina kama miaka 5 nacheza online betting(ladbrokes.com), napendelea sana soccer, sometime ice hockey,

tennis, baseball na basketball. Kuna wana Jf humu jamvini wanatumia hii kitu?

Kama wako, tupeane maarifa na ujanja wa ku make feza. Kama una website nzuri zinazotoa tips unaweza

kuweka.......
 
Boflo kweli ww noma, uko all round.....
Huo mchezo kuna jamaa yangu aliwahi kula dola elfu 40, lakini lazima uumize kichwa
 
Boflo kweli ww noma, uko all round.....
Huo mchezo kuna jamaa yangu aliwahi kula dola elfu 40, lakini lazima uumize kichwa

Umeona mkuu?...

Tatizo la wana Jf. 30% walugaluga, 40% ni walokole
 
Duh Boflo si mchezo aisee wakati nasoma pale IFM nimecheza sana unawafahamu kina makampuni si muchezo ila hiyo kitu ufcheze kwa leasur tu usifanye ndio mpango mzima wa kumake.

Pata maarifa zaidi ya kuwapiga hapa...

https://www.jamiiforums.com/sports/88354-nisaidieni-niache-kucheza-kamari-sports-betting.html

El Toro,Makampuni namjua sana, yule mzee kishadata,
Pengine hata wewe nakujua, cause wanafunzi wa ifm wengi waliokuwa wakija pale nawajua..
Mbona mimi nimewapiga sana hii kitu,
Unavyosema ni kweli, hii kitu hutakiwi utegemee
Nimefurahi kukujua El Toro
 
najua hakuna asiyemfahamu mzee makampuni kama wewe ni mzee wa kubett, tatizo hapa bongo washamba wengi wakati mbele hadi makocha na wachezaji wanabet hadi na viongozi wajuu.
anyway, mwana mie nahtaji kuwa member sinaweza bila kupitia pale kwenye tawi lao new africa?
 
Inawezekana, tumia viza au mastercard au fungua site ya ladbrokes kuna options nyingi za kulipia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom