Hivi Millard Ayo kashasepaga Clouds au? Maana namsikia Musa siku ya 3 hii Amplifaya!
Leo nilichelewa kidooogo Kutune Amplifire Clouds Fm ila Nmekuta Baba ashibae Musa hussain Yupo Kwa Kiti cha...
Ommy kiki hizi huziwezi. It was good just a week ago. Haya the minute ukaanza ubaba na umama Wanjera ndo mambo
yakawa mabaya.
Sio kila mtu nyota yake iko kwa wanawake. Mwenzio Mondi huwa...
Leo nimeamua nimwagike kuwahusu Bongo movie, wanaofanya hii shughuli hasa kampuni zilizoshika soko. Sitaki kuamini yasemwayo kuwa wengi wenu hamkwenda shule na hii kazi mnaifanya kiujanja ujanja...
Wadau!!
tutiririke na mangoma ya hip 2 hiphop duniani tuongeze siku!.
tujuzane, tuskilize tujifunze Pia..
tuanze:
*forever young_ jay z
*home boys_ the game
*am a boss_rick rosee
*i see...
Wadau!!
tutiririke na mangoma ya hip 2 hiphop duniani tuongeze siku!.
tujuzane, tuskilize tuongeze siku..
tuanze:
*forever young_ jay z
*home boys_ the game
*am a boss_rick rosee
*i see...
1.Shughuli zake hasa ni zipi maana anaonekana kuwa na exposure kubwa sana ghafla. 2.Je,mambo ya umeneja wa wasanii ameanzia kwa Chibu au kuna wasanii amewahi kuwameneji...
Wadau,
Tunataka kuona ipi itakuwa ni event ambayo itabamba hapa jijini Dar siku ya j'mosi May30, kati ya Instagram Party vs Nyama Choma.
Kwa maneno mengine, Instagram Party ipo kwa kijana...
Leo nilikuwa nikitizama project za one8 na one campaign. Moja ya vipaji nilivyovishuhudia humo ndani ni wabongo, mtoto wa kihehe Alli kiba na mtoto wa kimanyema Diamond Platnumz. Nimesikia zile...
Salaam wadau.
Hope u are doing just fine......well, kama uzi unavyojieleza wee unaelewaje unaposkia neno MIXTAPE, msanii anafaidika vipi kwa MIXTAPE.
MIXTAPE hutoka wakati gani labda...
Wadau..
Naomba kufahamishwa kama hapa Dar es salaam kuna Music School. Nataka nijifunze kupiga vyombo vya Music.. Guitar, Piano na Drums. Wapi naweza pata hii elimu? Nataka kuanza na Guitar...
Wakuu mwenye wimbo ule alioimba Msanii Ibra the Hastler aliomshirikisha Msanii Loon kutoka Marekani miaka kadhaa iliyopita naomba auweke hapa jamvini. Nadhani huo wimbo unaitwa Loon Bongo.
Big L, with Jay-Z.
You already know the name or you musta heard. Rated highly among rap' heads, Big L alizaliwa tarehe na siku kama ya leo (May 30, 1974) huko NYC. Kwa bahati mbaya Jamaa...
Baada ya kusubiriri kwa muda mrefu sasa wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakae tayari kwa kazi ya kwake Diamond Platnumz ambayo amemshirikisha Mr Flavour kutoka Nigeria ambayo inaitwa Nana,leo...
Taarifa iliyonifikia ni kwamba kile kipindi maarufu cha Planet Bongo kinachorushwa kila jumamosi na kituo cha East Africa Radio na kungurumishwa na Mjukuu wa Ambua 'Dullah' kimefutwa rasmi na...
jamani hivi ni kweli kwamba wasanii wetu hawana ubavu wa kupata tuzo za kimataifa kama channel O,BET,MTV bila kufanya colabo na wasanii wakubwa wa nje kama davido,2face, mr.flavour,P.SQUARE ?maana...
Jamani hivi ulishajiuliza kwa kina kwanini movie na CD za nyimbo za wasanii wa bongo haziuziki nje ya nchi za K 4 REAL tu ndizo zinauzika kama njugu nje ya nchi.
Wakuu kwanini inakua hivi?