nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Hivi Millard Ayo kashasepaga Clouds au? Maana namsikia Musa siku ya 3 hii Amplifaya!
Leo nilichelewa kidooogo Kutune Amplifire Clouds Fm ila Nmekuta Baba ashibae Musa hussain Yupo Kwa Kiti cha Millard ni Poa sana ila Kulikon jaman mbona kumepoooza flan iv....