Ipi Zaidi : Instagram Party VS Nyama Choma

Ipi Zaidi : Instagram Party VS Nyama Choma

PERFECT

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
361
Reaction score
131
Wadau,
Tunataka kuona ipi itakuwa ni event ambayo itabamba hapa jijini Dar siku ya j'mosi May30, kati ya Instagram Party vs Nyama Choma.

Kwa maneno mengine, Instagram Party ipo kwa kijana machachali Fredy na team yake Idris na Wema Sepetu.

Upande Mwingine, Nyama Choma ni bi Carlo Ndosi mbishi na team yake kina AY na FA.

Insta itakuwa Viwaja vya Posta( zaidi ya kawaida). While Nyama Choma ni leaders.

Inasemekana, Dr. Seba (Jembe ni Jembe) amedhamiria kumpoteza Carlo na Seth ambaye amefukuzwa insta party.

Mpaka sasa, NyamaChoma imedoda wacha tuone Jmosi upande upi utakuwa poa
 
Wewe ka umekuja kukanda Nyama Choma si useme tu

Unaandika eti imedoda wapi umeona hivyo shughuli ipo sasa hivi hapo ulipo.

Haya mambo ya kijinga ya kuja kukanda juhudi za watu ni ujinga kwangu.

Wewe fanya yako nenda unakotaka achia watu wafanye yao. Kwani umelazimishwa?

Sasa uko ulikosema kumedoda ndio tutaenda kupachangamsha na kula hadi tusaze maana no kubanana ni kutanua tu, so usilale
 
insta wamejichanganya kwenye hili, bora wangepick any other day... kwanza nyama choma walitoa ratiba yao ya mwaka mzima in public tangu January so walichofanya insta party ni uchokozi flani na ushamba!!!

BTW nyama choma lazima ipate watu wengi siku hiyo, ni event inayochukua hadi watoto wadogo na michezo ipo from sa sita... kwa wale wabishi wataanzia nyama choma then night kali wataenda insta kuchungulia!!!
 
Wewe ka umekuja kukanda Nyama Choma si useme tu

Unaandika eti imedoda wapi umeona hivyo shughuli ipo sasa hivi hapo ulipo.

Haya mambo ya kijinga ya kuja kukanda juhudi za watu ni ujinga kwangu.

Wewe fanya yako nenda unakotaka achia watu wafanye yao. Kwani umelazimishwa?

Sasa uko ulikosema kumedoda ndio tutaenda kupachangamsha na kula hadi tusaze maana no kubanana ni kutanua tu, so usilale

Afadhari umenisaidi kumjibu maana ningepigwa ban leo kwa zigo nililokuwa nimemwandalia huyu plein
 
Back
Top Bottom